Fatma Karume: Wamasai waheshimu Sheria zetu Wazanzibar

Yeye anatii sheria za Tanganyika?
 
Wamasai wanasumbua sana watalii,malalamiko yamekua mengi sana Kwa watalii. Wamasai wote wamegeuka beach boys on steroids,mtalii katulia beach wanakuja kumsumbua kumuuzia madude yao na mashangaa.

Malalamiko yamekua mengi sana watalii wanasumbuliwa na wamasai,kila masai anayekuja zenji anategemea apate zali la mzungu aende ulaya. Sasa hili suala la silaha ni mwanzo tu ila hawatakiwi beach wamechokwa na watalii wanakera sana pia washambaaa.
 
Masai wanazunguka kama wamachinga beach wanauza vitu tena wamekua wasumbufu hawajui mipaka,akitoka huyu anakuja huyu kukuuzia mashanga yao. Mwanzoni walikua wachache na waelewa,sasa hivi wamekua aggressive na njaaa Kali.
 
mrangi
 
Kwangu mimi wakipigwa marufuku kwa kusumbua watalii (kama ni kweli) nitaunga mkono. Na siyo wamasai tu, ila beach yote inatakiwa kusiwepo na wasumbufu. Ila kuwapiga marufuku eti kwa kubeba fimbo hiyo siyo sawa.
 
Masai waachiwe sime zao hazina madhara mbona nimewapiga masai wengi sana wakiwa hivyohivyo na sime na rungu zao nyie mnaogopa nini?
Inanikumbusha South Africa kipindi cha Mangosuthu Buthelezi na Inkatha Freedom Part. Aliongoza wazulu zaidi ya 10,000 kuandamana na visu yao ya kizulu ili kupinga serikali kupiga marufuku wazulu kubeba visu vya jadi.
 

Masai wanazunguka kama wamachinga beach wanauza vitu tena wamekua wasumbufu hawajui mipaka,akitoka huyu anakuja huyu kukuuzia mashanga yao. Mwanzoni walikua wachache na waelewa,sasa hivi wamekua aggressive na njaaa Kali.
Nyie na bi kizimkazi simmeiuza Ngorongoro na kuwatimua kwa nguvu? Sasa mnapata makasiriko ya nini wanapokuja huko Zanzibar?
 
Warudisheni wamasai wetu na mchukue mapemba yenu [emoji37]
 
Ukikuta Mmasai anavyomsumbua mgeni wewe mwenyeji utajikuta unakereka. Yaani ni zaidi ya wasumbufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…