Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

MKuu, Raisi akiteua Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambaye hana uwezo wa kuzijua sheria basi huyo raisi hana akili sawasawa. Ndio maana Mwanasheria Mkuu anapaswa awe amekuwa wakili kwa miaka si chini ya 15, ikimaanisha kuwa na uzoefu mwingi wa kushughulika na kesi mbalimbali za kisheria nk. Sasa ukiangalia Fatima, ni mzoefu sana katika haya mambo, kuanzia shule alizosoma, kuwa mwajiriwa katika kampuni maarufu ya Sheria ya Mkono & Co, na hatimae partner katika kampuni maarufu ya uwakili. Huwezi kumlinganisha Fatima kiuwezo wa sheria na Mwanasheria Mkuu. Lakini hili jambo Fatima alilolitolea tamko, ni dogo sana kwa Mnwanasheria Mkuu kutolielewa. Na kama tuna Mwanasheria Mkuu haelewi jambo dogo kama hili basi ni kihiyo sana wa sheria!
Acha kuongea pumba we kenge. Branches au mihimili ya serikali ni mitatu. Executive,judiciary na legislature. Huyo Bibi kizee anajua nini?
 
Mantiki ya kuwa na mihimili mitatu ni separation of powers (not separation of responsibilities kama vile departments ndani ya shirika).

Kila mhimili unatakiwa ujiendeshe independently ili kuweza kuleta checks and balance (ndio maana utawasikia wana siasa wakidai ‘parliamentary sovereignty’ na wanasheria ‘judicial independence’ wote hao awataki maamuzi kutoka sehemu zingine)

From that logic AG awezi kuwa na mamlaka kila sehemu vinginevyo inaondoa dhana nzima ya checks and balance.

AG mwajiriwa wa serikali, anaingia bungeni kutolea ufafanuzi maswala ya sheria (lakini si mchangiaji wa miswada ya bunge, wala mpiga kura ili sheria ipite na akiingia mahakamani ni kama wakili mwingine) yupo kila sehemu lakini hana infuence za shughuli ya bunge wala mahakama ata serikalini ni advisor tu.
 
Kwa hiyo Bunge sio serikali? Mahakama sio serikali?
Bunge siyo serikali na wala mahakama siyo serikali. Serikali ni utawala, Bunge ni chombo cha kutunga sheria na kuisimamia serikali na Mahakama ni chombo cha kutafsiri sheria na kitoa haki. Kwa hiyo serikali ikiona kuna uvunjifu wa sheria inapeleka mahakamani. Hivyo wewe ukiiba serikali haikufungi hadi mahakamani ithibitishe kuwa ni kweli uliiba na itatoa adhabu ambayo serikali itahakikisha inasimamia utekelezaji wake.
 
Bunge siyo serikali na wala mahakama siyo serikali. Serikali ni utawala, Bunge ni chombo cha kutunga sheria na kuisimamia serikali na Mahakama ni chombo cha kutafsiri sheria na kitoa hali. Kwa hiyo serikali ikiona kuna uvunjifu wa sheria inapeleka mahakamani. Hivyo wewe ukiiba serikali haikufungi hadi mahakama ithibitishe kuwa ni kweli uliiba na itatoa adhabu ambayo serikali itahakikisha inasimamia utekelezaji wake.
Si ajabu watu wengi humu awaelewi hata police force ni sehemu ya judiciary and not the government.
 
Bunge siyo serikali na wala mahakama siyo serikali. Serikali ni utawala, Bunge ni chombo cha kutunga sheria na kuisimamia serikali na Mahakama ni chombo cha kutafsiri sheria na kitoa hali. Kwa hiyo serikali ikiona kuna uvunjifu wa sheria inapeleka mahakamani. Hivyo wewe ukiiba serikali haikufungi hadi mahakama ithibitishe kuwa ni kweli uliiba na itatoa adhabu ambayo serikali itahakikisha inasimamia utekelezaji wake.
Umeishia darasa la ngapi? Maana hata darasa la pili wana smart phones. Na ndio watu kama wewe. Executive,judiciary na mahakama ni kitu kimoja. Ila huo ni mgawanyo tu wa madaraka. Ili kuondoa ukiritimba katika kufanya kazi. Ndio maana unaina Rais anateua majaji. Ndio maana unaona Rais anafungua na kuvunja Bunge. Ila sio kosa lako ni Chadema.
 
N

Nikujibu wewe hujanijibu? Kwani anaewalipa wabunge na watumishi wa mahakama si Executive ambae ni Rais. Jibu kwanza bunge ni serikali? Mahakama ni serikali?
Kisheria anayetambulika ni mwajiri na sio anayelipa mshahara. Na ndio maana TISS walimuajiri Diwani Athuman lakini mshahara alikua analipwa na Jeshi la Polisi.

Vuta kumbukumbu vizuri utagundua kwamba pia yapo NGO na AZAKI ambazo waajiriwa wake wanalipwa na wafadhili ila wanaripoti kwa management za NGO au AZAKI hizo.
 
Mh... Kazi ipo!
 
Ushapunguza stress kwa kusema hivyo....
Usipande ngazi ukiwa umelewa...
MAccm ni mataahira yote!
PossibleDeliriousDunnart-max-1mb.gif
 
Unaweza kuandika hizo pillars zako kwa kiswahili zote tatu?
Wewe ndiyo umejadili kiini cha tatizo!
Tatizo lugha ya kiswahili.

Hapa wengi wanakwama kwenye kufanya tafsiri ya maneno Government, State, Executive, Judicial na Parliament.
Tukirudi kwenye kiswahili watu wanakwama kujuwa maana na tofauti ya maneno Serikali, na Dola.
 
Babake aliwafanya nn wa ZNZ?

Na kwann walimkita?

DNA my left foot[emoji3][emoji3]

Revolutionary DNA ipo ndani ya blood yake kutoka kwa babu yake...

Huyu ananipaga sana matumaini kwamba ipo siku tutapata really free country level za uhuru wa United States.

Yeye na Maria,incredible ladies!
 
Kwenye huu uzi uliokosa constructive criticism utagundua watanzania wengi hawana elimu ya uraia.

Tukipitia vyeti vyenu tutaona mlipata A O'level wakati kichwani sifuri.
Hamna mtu anayepata A ashindwe kutofautisha kati ya state na government. Wote hawa walipata 0, kama huyu Sijijui jui lazima alikula 0
 
Back
Top Bottom