Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

Government ina 3 pillars...

Executive
Legislature
Judiciary
tatizo kwa hapa nyumbani mkanganyiko huu una historia kwakua watanzania wengi wanaitafsiri hiyo Executive kama Serikali kwakua inaonekana mtendaji mkuu ni Rais, mkanganyiko ambao umemkumba hata mwanasheria msomi Fatma karume.
 
Wewe mpuuzi dola ina mhimili? Mh.. Chadema imejaza wajinga. Yaani State ina branches?
Mkuu state kwa maana nchi au dola ndo yenye mihimili mitatu na hii mbona ipo clear kwenye katiba yetu ya mwaka 77 na Fatuma kaquaote vifungu hapo juu.Sasa Kama ninyi ndo ccm imewaweka muitetee hapa mitandaoni basi wadanganyika watasubiri viwanda sana
 
tatizo kwa hapa nyumbani mkanganyiko huu una historia kwakua watanzania wengi wanaitafsiri hiyo Executive kama Serikali kwakua inaonekana mtendaji mkuu ni Rais, mkanganyiko ambao umemkumba hata mwanasheria msomi Fatma karume.
Mkuu kwa hiyo executive Ni dola?Hivi mnajitoa ufahamu kwa kuwa ujinga huu kausema mteuzi wa magu au?
 
Kawashika manyumbu yameamini na yamekuja na msamiati dola to cover the stupidity [emoji3][emoji3]
Ni aibu sana kwa Ni Fatma Karume kutoa post hii,hajui kwamba serikali Ina mihimili 3? Au kwa sababu wameshajizoeza kupinga kila kitu kisemwacho na serikali?
Serikali (Government) Ina pillars(mihimili) 3 1) executive (serikali kuu),Judiciary (mambo ya sheria) na Legislature (kutunga sheria), hivyo AG yuko sawa sasa na baadae.
Inanipa hofu kuwa neno executive shangazi hajui maana yake!
Kwa maneno aliyotumia dhidi ya AG ayafute mara moja na aiombe radhi profession yake kwa kuandika kitu unprofessionally.
Personally namuomba shangazi asipende kujiona kuwa anajua sana kula kitu kuliko wengine na ningependa kumkumbusha awe makini sana anapotoa hoja kupinga hoja iliyotolewa na professor yeyote hasa wanapokuwa wanazungumza si kisiasa bali kutaaluma.
 
Kulinganisha uwezo wa kuelewa sheria wa Fatima na Mwanasheria Mkuu wa serikali ni sawa na kulinganisha uwezo wa mwalimu wa sule ya msingi na professor wa chuo kikuu.

Kwa nini mara nyingine hamtaki kuona ukweli mnapumbazwa na ushabiki wa kisiasa? Yaani mmekuwa wajinga kulingo wajinga wanavyoeleweka kwa ajili tu ya siasa
Fatma ni mwanasheria MSOMI kilaza.
 
Tricky tricky....
Ameongelea mihimili ..
Anapost mamlaka ya AG

Wow mwanasheria bingwa... nyambaff
1/Leo Adelardus katoa ushahidi dhidi yangu akisema yeye ni mshauri wa Serikali chini ya Ibara 59(3) ya Katiba na Serikali Ina mihimili 3, EXECUTIVE, LEGISLATIVE na JUDICIARY! Mungu wangu! Kwa kweli siwezi kupoteza muda wangu na mtu asiyeelewa KATIBA halafu ni MWANASHERIA MKUU! https://t.co/NTobVxfrc7

View attachment 1486607

2/ Kwa kusema SERIKALI Ina Mihimili 3, Executive, Judiciary na Legislative Ina maana Adelardus haielewi KATIBA yetu kabisa. Basi hata ibara ya 4 hajaisoma? Serikali ni MIHIMILI 1 kati ya 3. Siwezi kupoteza muda kumsikiliza AG asiyeielewa KATIBA yetu! https://t.co/wQuAbijdoyView attachment 1486611
 
Ni aibu sana kwa Ni Fatma Karume kutoa post hii,hajui kwamba serikali Ina mihimili 3? Au kwa sababu wameshajizoeza kupinga kila kitu kisemwacho na serikali?
Serikali (Government) Ina pillars(mihimili) 3 1) executive (serikali kuu),Judiciary (mambo ya sheria) na Legislature (kutunga sheria), hivyo AG yuko sawa sasa na baadae.
Inanipa hofu kuwa neno executive shangazi hajui maana yake!
Kwa maneno aliyotumia dhidi ya AG ayafute mara moja na aiombe radhi profession yake kwa kuandika kitu unprofessionally.
Personally namuomba shangazi asipende kujiona kuwa anajua sana kula kitu kuliko wengine na ningependa kumkumbusha awe makini sana anapotoa hoja kupinga hoja iliyotolewa na professor yeyote hasa wanapokuwa wanazungumza si kisiasa bali kutaaluma.
Mkuu naomba nikuulize,katiba ni Mali ya Serikali au nchi kwa maana ya state?
 
Hawa unaweza waita serikali kuu kwa tafsiri itayoeleweka kwa urahisi, tawi la utawala wa nchi ambalo kingozi wake ni Rais.
Kwa hiyo kwa akili yako katiba yetu ya mwaka 1977 ni Mali ya Serikali si ndiyo kilaza wangu?Je na Tanzania ni Nini?
 
Mwanasheria mkuu yupo sahihi, huyo Fatuma karume kapuyanga hapo. Hata shuleni somo la Civics tu inafundishwa matawi ya serikali ni matatu, ambayo ni excutive(serikali kuu inayohusika na utrndaji wa serikali nzima), Judiciary(Mahakama) na Legislature(Bunge).

Haya kwa pamoja huitwa branches of government(matawi ya serikali). Mtoto wa kidato cha tatu tu anaweza kukufafanulia kuhusu hilo, sikutarajia mwanasheria kama yeye angeweza kukuruouka tu.

Excutive ambayo anaisemea ni serikali nzima, anakosea sana. Lile ni tawi la serikali tu linahusika na utendaji mkuu, na si kwamba linabeba serikali nzima.

Sitarajii na watu humu ambao mmemaliza hata vidato vyote, mkakaa na kulibishia suala hili. Wakati huko mlifindishwa serikali ni nini, na matawi ya serikali ni yapi. Hata ukiingia kwenye article zenye kuijadili serikali ya Tanzania. Zinaonesha hilo
 
Back
Top Bottom