Ni aibu sana kwa Ni Fatma Karume kutoa post hii,hajui kwamba serikali Ina mihimili 3? Au kwa sababu wameshajizoeza kupinga kila kitu kisemwacho na serikali?
Serikali (Government) Ina pillars(mihimili) 3 1) executive (serikali kuu),Judiciary (mambo ya sheria) na Legislature (kutunga sheria), hivyo AG yuko sawa sasa na baadae.
Inanipa hofu kuwa neno executive shangazi hajui maana yake!
Kwa maneno aliyotumia dhidi ya AG ayafute mara moja na aiombe radhi profession yake kwa kuandika kitu unprofessionally.
Personally namuomba shangazi asipende kujiona kuwa anajua sana kula kitu kuliko wengine na ningependa kumkumbusha awe makini sana anapotoa hoja kupinga hoja iliyotolewa na professor yeyote hasa wanapokuwa wanazungumza si kisiasa bali kutaaluma.