Fatuma Karume: CCM wanamdharau sana rais Samia

Fatuma Karume: CCM wanamdharau sana rais Samia

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Ktk maandishi yake shangazi Fatuma Karume anasema dhihaka zinazotolewa na akina Ndugai, Polepole, Gwajima, n.k ni taarifa tosha kabisa kuwa rais Samia haheshimiki ndani ya ccm.

Shangazi amehitimisha kwa kuuliza swali kwamba...January mwaka huu deni lilikuwa 71 trilioni...kwann Ndugai hakunyanyua mdomo kusema nchi itapigwa mnada??

Screenshot_20211228-221805.png
 
Na Ndio maan TU nataka katibampya ,Ili kuwe na
Transparency,
Separation of powers kwenye mihimili ya Taifa
 
Kumbe tumepambana kama wamefanikiwa kupunguza deni kwa Mujibu wa shangazi
 
Asiyemheshimu mwenyekiti wetu wa CCM taifa nasi vijana HATUTOMHESHIMU abadani asilani !!

#Siempre Chifu Mkuu Hangaya🙏
#Siempre CCM🙏
#Kazi Inaendelea Kwa Kasi &Weledi Zaidi 💪
Tatizo viongozi wa kiafrica huwa hawajiamini, kazi rahisi ilikuwa ni kulivunja hili bunge ili Wananchi warudishiwe haki yao waliyoporwa na mwehu mmoja ya kuchaguwa wawakilishi wao na angeunda serikali isiyokuwa na mamluki.

Wahuni kama Ndugai hakuna mahali penye uchaguzi wa kweli wanaweza kupenya katika uchaguzi.

Mkiendelea kucheka na hawa kima wa mwendakuzimu mtacheza midundo yao mpaka 2025.

Muda wa kuwaeliminate hawa kima ni sasa, ajabu mnacholewa chui wa karatasi Mbowe wakati watu hatari kwa Taifa wapo ndani ya ccm.
 
Ktk maandishi yake shangazi Fatuma Karume anasema dhihaka zinazotolewa na akina Ndugai, Polepole, Gwajima, n.k ni taarifa tosha kabisa kuwa rais Samia haheshimiki ndani ya ccm.

Shangazi amehitimisha kwa kuuliza swali kwamba...January mwaka huu deni lilikuwa 71 trilioni...kwann Ndugai hakunyanyua mdomo kusema nchi itapigwa mnada??

View attachment 2061082

Shangazi naona anafyatua maneno tu kama matofali.
Mwenyewe alishasema nani anaeleta dharau.
 
Asiyemheshimu mwenyekiti wetu wa CCM taifa nasi vijana HATUTOMHESHIMU abadani asilani !!

#Siempre Chifu Mkuu Hangaya🙏
#Siempre CCM🙏
#Kazi Inaendelea Kwa Kasi &Weledi Zaidi 💪
Kinachoonyesha kuwa wapo wana CCM hawamheshimu rais ni mabadiliko anayyafanya rais hayaendani na matakwa ya wengi mfano kukopa pesa ili kujenga mashule na kununua madawati,,, kukopa kwa ajili ya miradi mikubwa ya kimkakati hiyo ni sawa na Ndugai alifafanua kukopa kufanyia nini kina Fatma na wapinga ukweli wote hawapendi ukweli ktk kipindi cha toka Samia awe rais miradi mingi mikubwa imesimama kwa kiasi kikubwa SGR Rufiji dam Kigongo Busisi na Coastal dual carriage way Lamu to Bagamoyo ndiyo haisemeki sasa wanajenga tu njia ya kupitisha ng'ombe Tanga to Pangani na hakieleweki wakati mradi wa Coastal dual carriage road Lamu to Bagamoyo ADB walitoa pesa na huko Kenya tayari vumbi liko hewani
 
Kwa ufupi.

NCHI HAIPASWI KUONGOZWA NA MWANAMKE .

TENA MWANAMKE AMBAYE, NYUMA YAKE KUNA MIFUMO MIBOVU, ILOJAA RUSHWA, WAPIGAJI, MAFISADI.

MWANAMKE MWOGA, ASIYEKUA NGANGARI.

Aende akawaongoze wazanzibar kama Anaaamini anajiweza.
 
Ktk maandishi yake shangazi Fatuma Karume anasema dhihaka zinazotolewa na akina Ndugai, Polepole, Gwajima, n.k ni taarifa tosha kabisa kuwa rais Samia haheshimiki ndani ya ccm.

Shangazi amehitimisha kwa kuuliza swali kwamba...January mwaka huu deni lilikuwa 71 trilioni...kwann Ndugai hakunyanyua mdomo kusema nchi itapigwa mnada??

View attachment 2061082

Lazima asimame Na Mwenzie, mana sasa hivi wao wanakula kwa mgongo wa Mtanganyika!
 
Ndugai anajua kabisa HATOBOI tena kwa wizi au kwa fimbo
alizoiba na kujijengea Mahekalu Jijini Dodoma ana chuki na Mama kurejea Pwani miradi imejiozea. KINGA safari hii haitamsaidia kama 7baya na Makonda
 
Ktk maandishi yake shangazi Fatuma Karume anasema dhihaka zinazotolewa na akina Ndugai, Polepole, Gwajima, n.k ni taarifa tosha kabisa kuwa rais Samia haheshimiki ndani ya ccm.

Shangazi amehitimisha kwa kuuliza swali kwamba...January mwaka huu deni lilikuwa 71 trilioni...kwann Ndugai hakunyanyua mdomo kusema nchi itapigwa mnada??

View attachment 2061082
Ukweli mchungu huu
 
Ndugai kampiga madongo mengi sana mama tena ya hadharani....sasa sjui wanaugomvi gani mahsusi
 
Back
Top Bottom