AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,318
- 4,106
Alikopa kujenga uwanja wa ndege chato au uwanja wa mpira chatoMagu(RIP) hakuwahi kukopa kujenga madarasa, idiot !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikopa kujenga uwanja wa ndege chato au uwanja wa mpira chatoMagu(RIP) hakuwahi kukopa kujenga madarasa, idiot !
Hilo lipo wazi mkuu.Mama hana ubabe wowoteKwa ufupi.
NCHI HAIPASWI KUONGOZWA NA MWANAMKE .
TENA MWANAMKE AMBAYE, NYUMA YAKE KUNA MIFUMO MIBOVU, ILOJAA RUSHWA, WAPIGAJI, MAFISADI.
MWANAMKE MWOGA, ASIYEKUA NGANGARI.
Aende akawaongoze wazanzibar kama Anaaamini anajiweza.
Kabla ya kulivunjaTatizo viongozi wa kiafrica huwa hawajiamini, kazi rahisi ilikuwa ni kulivunja hili bunge ili Wananchi warudishiwe haki yao waliyoporwa na mwehu mmoja ya kuchaguwa wawakilishi wao na angeunda serikali isiyokuwa na mamluki.
Wahuni kama Ndugai hakuna mahali penye uchaguzi wa kweli wanaweza kupenya katika uchaguzi.
Mkiendelea kucheka na hawa kima wa mwendakuzimu mtacheza midundo yao mpaka 2025.
Muda wa kuwaeliminate hawa kima ni sasa, ajabu mnacholewa chui wa karatasi Mbowe wakati watu hatari kwa Taifa wapo ndani ya ccm.
Kura ya kutokua na imani na rais ina mchakato mrefu sana, rais anaweza vunja bunge kwa tangazo moja tu ktk gazeti la serikali lakini kumwondoa rais is a process mzee.Kabla ya kulivunja
Rais anapigiwa kura ya kutokuwa na imani naye anaondolewa madarakani kwanza ndo uchaguzi mkuu unapigwa.
Atulie mbn yeye alikua anamtusi sana JPM, leo kwa mzanzibar mwenzake roho inamuuma?!Ktk maandishi yake shangazi Fatuma Karume anasema dhihaka zinazotolewa na akina Ndugai, Polepole, Gwajima, n.k ni taarifa tosha kabisa kuwa rais Samia haheshimiki ndani ya ccm.
Shangazi amehitimisha kwa kuuliza swali kwamba...January mwaka huu deni lilikuwa 71 trilioni...kwann Ndugai hakunyanyua mdomo kusema nchi itapigwa mnada??
View attachment 2061082
Mzuri
Akivujna bunge na wewe amejifuta.Kura ya kutokua na imani na rais ina mchakato mrefu sana, rais anaweza vunja bunge kwa tangazo moja tu ktk gazeti la serikali lakini kumwondoa rais is a process mzee.
Kwanza Samia anaweza mvua uanachama Ndugai habari yake ikaishia hapo.
Kura ya kutokua na imani na rais ina mchakato mrefu sana, rais anaweza vunja bunge kwa tangazo moja tu ktk gazeti la serikali lakini kumwondoa rais is a process mzee.
Kwanza Samia anaweza mvua uanachama Ndugai habari yake ikaishia hapo.
Si kweli someni katibaUkivunja bunge lazima uchaguzi mkuu sio wa wabunge tu na urais pia.
Tatizo viongozi wa kiafrica huwa hawajiamini, kazi rahisi ilikuwa ni kulivunja hili bunge ili Wananchi warudishiwe haki yao waliyoporwa na mwehu mmoja ya kuchaguwa wawakilishi wao na angeunda serikali isiyokuwa na mamluki.
Wahuni kama Ndugai hakuna mahali penye uchaguzi wa kweli wanaweza kupenya katika uchaguzi.
Mkiendelea kucheka na hawa kima wa mwendakuzimu mtacheza midundo yao mpaka 2025.
Muda wa kuwaeliminate hawa kima ni sasa, ajabu mnacholewa chui wa karatasi Mbowe wakati watu hatari kwa Taifa wapo ndani ya ccm.
wewe ndo usome katiba. Unafikiri kuvunja bunge ni sawa na kuvunja baraza la mawaziri kuondoa waziri mkuu?Si kweli someni katiba