Tatizo viongozi wa kiafrica huwa hawajiamini, kazi rahisi ilikuwa ni kulivunja hili bunge ili Wananchi warudishiwe haki yao waliyoporwa na mwehu mmoja ya kuchaguwa wawakilishi wao na angeunda serikali isiyokuwa na mamluki.Asiyemheshimu mwenyekiti wetu wa CCM taifa nasi vijana HATUTOMHESHIMU abadani asilani !!
#Siempre Chifu Mkuu Hangaya🙏
#Siempre CCM🙏
#Kazi Inaendelea Kwa Kasi &Weledi Zaidi 💪
Ktk maandishi yake shangazi Fatuma Karume anasema dhihaka zinazotolewa na akina Ndugai, Polepole, Gwajima, n.k ni taarifa tosha kabisa kuwa rais Samia haheshimiki ndani ya ccm.
Shangazi amehitimisha kwa kuuliza swali kwamba...January mwaka huu deni lilikuwa 71 trilioni...kwann Ndugai hakunyanyua mdomo kusema nchi itapigwa mnada??
View attachment 2061082
Kinachoonyesha kuwa wapo wana CCM hawamheshimu rais ni mabadiliko anayyafanya rais hayaendani na matakwa ya wengi mfano kukopa pesa ili kujenga mashule na kununua madawati,,, kukopa kwa ajili ya miradi mikubwa ya kimkakati hiyo ni sawa na Ndugai alifafanua kukopa kufanyia nini kina Fatma na wapinga ukweli wote hawapendi ukweli ktk kipindi cha toka Samia awe rais miradi mingi mikubwa imesimama kwa kiasi kikubwa SGR Rufiji dam Kigongo Busisi na Coastal dual carriage way Lamu to Bagamoyo ndiyo haisemeki sasa wanajenga tu njia ya kupitisha ng'ombe Tanga to Pangani na hakieleweki wakati mradi wa Coastal dual carriage road Lamu to Bagamoyo ADB walitoa pesa na huko Kenya tayari vumbi liko hewaniAsiyemheshimu mwenyekiti wetu wa CCM taifa nasi vijana HATUTOMHESHIMU abadani asilani !!
#Siempre Chifu Mkuu Hangaya🙏
#Siempre CCM🙏
#Kazi Inaendelea Kwa Kasi &Weledi Zaidi 💪
Huyo ndio Amiri jeshi mkuu mpaka 2035.Kwa ufupi.
NCHI HAIPASWI KUONGOZWA NA MWANAMKE .
TENA MWANAMKE AMBAYE, NYUMA YAKE KUNA MIFUMO MIBOVU, ILOJAA RUSHWA, WAPIGAJI, MAFISADI.
MWANAMKE MWOGA, ASIYEKUA NGANGARI.
Aende akawaongoze wazanzibar kama Anaaamini anajiweza.
Ktk maandishi yake shangazi Fatuma Karume anasema dhihaka zinazotolewa na akina Ndugai, Polepole, Gwajima, n.k ni taarifa tosha kabisa kuwa rais Samia haheshimiki ndani ya ccm.
Shangazi amehitimisha kwa kuuliza swali kwamba...January mwaka huu deni lilikuwa 71 trilioni...kwann Ndugai hakunyanyua mdomo kusema nchi itapigwa mnada??
View attachment 2061082
Anaanzia wapi kutoboa.?.
Anajitahidi sana....japo mi pro jiwe
Huwa hatukani, bali ananyooshahuyo shangazi aliyeitukana Ccm miaka mitano na Samia akiwemo leo hii ndio amtetee...MUHUNI mwingine huyo
Kumbi zake za mikutano hazipati watu kabisakujijengea Mahekalu Jijini Dodoma ana chuki na Mama kurejea Pwani miradi imejiozea.
Ukweli mchungu huuKtk maandishi yake shangazi Fatuma Karume anasema dhihaka zinazotolewa na akina Ndugai, Polepole, Gwajima, n.k ni taarifa tosha kabisa kuwa rais Samia haheshimiki ndani ya ccm.
Shangazi amehitimisha kwa kuuliza swali kwamba...January mwaka huu deni lilikuwa 71 trilioni...kwann Ndugai hakunyanyua mdomo kusema nchi itapigwa mnada??
View attachment 2061082