saidi kindole
JF-Expert Member
- Sep 21, 2012
- 310
- 792
wamekosa makosa na sababu kwahiyo sasa ni kuhaha kutafuta makosa yoyote ili mradi wampate mbowe kama kawaida yao.Shangazi amewageuka wenzake maana bado amefunga sita za ziada baada ya kula idd
Chadema wamelikoroga wenyewe soon watakuwa jera kama viongozi wa TFF Mpaka wateme pesa zote
Hivi kuna rushwa mbali ya "kutoa" na "kupokea" tena bila kuwa na lengo maalumu?Matumizi mabaya ya fedha ni rushwa.
Hata Kigwangalla soon ataitwa na Takukuru!
Ili sukari ishuke bei ?mbowe kashindwa kuiendesha taasisi kubwa kama chadema mpaka imekufa.
sasa chadema imebaki kidoogo tweeter na jf ndo inaishiaishia ikifika october tunaizika rasmi.
Na ile ya kuombwa ngono kwa wa viti maalum nayo ni ya CAG? Kukwepa kodi ya magari ni ya CAG? Ubadhilifu wa pesa na mali za umma Fatuma anataka uchunguzwe na nani?fatuma Karume ameuliza je Matumizi ya mabaya ya fedha ni RUSHWA? Au ni kazi ya CAG? Waseme kuna KESI YA RUSHWA. Wasituambie matumizi MABAYA maana hata Serikalini, CAG kabaini kuna MATUMIZI MABAYA ya fedha, lakini haina maana ni RUSHWA chini ya SHERIA ya RUSHWA!!! Mamlaka ya PCCB ni kwa makosa ya rushwa tu!
Simple definition ya rushwa NiHivi kuna rushwa mbali ya "kutoa" na "kupokea" tena bila kuwa na lengo maalumu?
Ili kuitwa rushwa ni lazima itolewe, na ipokelewe kwa lengo fulani, sasa makubaliano waliyojiwekea kwenye chama chao utayaitaje rushwa?
Umeelewa vizuri kweli wewe nyumbigwa?Shangazi amewageuka wenzake maana bado amefunga sita za ziada baada ya kula idd
Chadema wamelikoroga wenyewe soon watakuwa jera kama viongozi wa TFF Mpaka wateme pesa zote
Pumbavu!! Hajasikia kwamba kuna rushwa ya ngono wabunge wa kuteuliwa wamekuwa wanailalamika??fatuma Karume ameuliza je Matumizi ya mabaya ya fedha ni RUSHWA? Au ni kazi ya CAG? Waseme kuna KESI YA RUSHWA. Wasituambie matumizi MABAYA maana hata Serikalini, CAG kabaini kuna MATUMIZI MABAYA ya fedha, lakini haina maana ni RUSHWA chini ya SHERIA ya RUSHWA!!! Mamlaka ya PCCB ni kwa makosa ya rushwa tu!
Chadema ikifa huenda kule Mtela, Nanyumbu, Kongwa, Kakonko, Kishapu, Namtumbo, Namungo, Butiama .......kukawa na maendeleo! Ccm tumeongoza maeneo haya tangu nchi ipate Uhuru lakini hali ni tete! Yote hii ni sababu ya Mbowe! Tushukuru nchi hii inavilazer wengi la sivyo tungeshang'oka!mbowe kashindwa kuiendesha taasisi kubwa kama chadema mpaka imekufa.
sasa chadema imebaki kidoogo tweeter na jf ndo inaishiaishia ikifika october tunaizika rasmi.
TFF ipi ya karia ambayo imekula pesa ya mtukufu?Shangazi amewageuka wenzake maana bado amefunga sita za ziada baada ya kula idd
Chadema wamelikoroga wenyewe soon watakuwa jera kama viongozi wa TFF Mpaka wateme pesa zote
Waanzie kwa Ndungai zile bilion 12 kisha waende wizara ya ujenzi zile bilion 251 kwanzaMakosa ya kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu, matumizi mabaya ya fedha za uma, wizi na mengine yanayofanana na hayo ndiyo tuhuma zinazotolewa.
Polisi wanatakiwa wahoji na kupeleleza.
Tuhuma kuhusu kununuliwa kwa viongozi wa upinzani zinaangukia kwenye rushwa na hapo PCCB waingie kazini.
Hata hivyo, hizo zote ni tuhuma tu na hivyo vyombo hivyo vya dola vina wajibu wa kutoa mrejesho kwa uma ili kujenga jamii na taifa lenye siasa safi na lililostaarabika.
Huko CCM Mbona ndipo ilipojaa zaidi Mbona Takukuru hawaanjia huko?Pumbavu!! Hajasikia kwamba kuna rushwa ya ngono wabunge wa kuteuliwa wamekuwa wanailalamika??