Fatuma Karume: Matumizi ya fedha mabaya ni rushwa?

Fatuma Karume: Matumizi ya fedha mabaya ni rushwa?

Na ile ya kuombwa ngono kwa wa viti maalum nayo ni ya CAG? Kukwepa kodi ya magari ni ya CAG? Ubadhilifu wa pesa na mali za umma Fatuma anataka uchunguzwe na nani?
Chunguza bilion 12 za Ndungai kwanza mali za CCM viwanja vya CCM vilivyoporwa zile bilion 251 zilipotea wizara ya ujenzi, kivuko cha Dsm Bagamoyo, 10%ununuzi wa Ndege, ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge Takukuru waanzie huko kwanza
 
Shangazi amewageuka wenzake maana bado amefunga sita za ziada baada ya kula idd

Chadema wamelikoroga wenyewe soon watakuwa jera kama viongozi wa TFF Mpaka wateme pesa zote

Ingekuwa safi sana kama wangeanzia kwa wakurugenzi wa halmashauri maana huko ndio zimeibwa sana
 
Na ile ya kuombwa ngono kwa wa viti maalum nayo ni ya CAG? Kukwepa kodi ya magari ni ya CAG? Ubadhilifu wa pesa na mali za umma Fatuma anataka uchunguzwe na nani?

Ngono kwa miaka 5 yote yupo kimya? Basi huyo alikuwa demu wake
 
Ingekuwa safi sana kama wangeanzia kwa wakurugenzi wa halmashauri maana huko ndio zimeibwa sana
Acha kukariri mkuu halmashauri sasahivi pesa Ni chache , wizarani pesa ndio zinapigwa sana
 
Kwa jina la Chadema Takukuru wanaweza wanafungua vyesi vya kitoto. Kigwangala naye achunguzwe na wengineo na wengineo
 
Hivi kuna rushwa mbali ya "kutoa" na "kupokea" tena bila kuwa na lengo maalumu?

Ili kuitwa rushwa ni lazima itolewe, na ipokelewe kwa lengo fulani, sasa makubaliano waliyojiwekea kwenye chama chao utayaitaje rushwa?
Nimesikia pia kuna rushwa ya ngono! Hivi shangazi hili analionaje?
 
Mtakuja shangaa viongozi Chadema wakishtakiwa kwa kumiliki line za simu sio zao
 
Huko CCM Mbona ndipo ilipojaa zaidi Mbona Takukuru hawaanjia huko?
Kwa mara ya Kwanza kabisa Takukuru inaenda kufanya Jambo la kihistoria na nilakupongezwa Sana mkuu

Sema tu kwamba, Tanzania tunawasomi wengi wajingawajinga Sana, na sijui Kwa sababu gani, swala la kisiasa na ushabiki umewazidi kiasi kwamba usomi na umakini wao unakuwa unamezwa na mapenzi ya siasa

Huyu Shangazi ni msomi mzuri, lakini Kwa nini anaamua kuwa mjinga kiasi hicho?

Juzi, Takukuru ilikwenda kuchunguz pesa za mashirika mbalimbali, kwenye Vyama vya Ushirika, ni pesa ambazo shuku yake ni zimepotea yaani kuna matumizi mabaya, sasa kama ndio hivo, Takukuru kazi yake, haiishii kwenye Rushwa pekee, inakwenda mbaali zaidi

Mimi naungana na wewe mkuu, wakimaliza Hilo wafuatilie kila mahali penye utata na hata CCM wachunguzwe kama kuna harufu hizo

Sisi raia wa kawaida, tunataka pesa zetu zitumike kama istahilivyo
 
Mtakuja shangaa viongozi Chadema wakishtakiwa kwa kumiliki line za simu sio zao
Hahaha..ccm wanatapatapa ile mbaya, hawalali wala Kula bila kuitaja chadema....na Takukuru wakimaliza kuwahoji viongozi wa chadema wamwite na M'kiti wa ccm Taifa ahojiwe kwa nn ccm imepata hati chafu?
 
Simple definition ya rushwa Ni

" corruption is the use of public office for personal gain"

Kwa hiyo matumizi mabaya ya fedha za chama kwa kujinufaisha binafsi Ni rushwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Japo sijafahamu defination yako ulipoitoa, hizo "personal gain" ndio zile ngonjera mnazoimba kila siku bila ushahidi?
 
Takukuru sasa hivi inakagua kila kitu hata ubora wa chakula kama TFDA.
Bado watachunguza na Mangula kupewa sumu kwenye kikao. Nani alimpa kati ya wale aliokuwa amebaki nao? Mbona Mambosasa amenywea ghafla kakutana na nini?
 
WAITARA kasema jana Tanzania kuna kijukuu cha Mtume.

Inawezekanaje ikawa kila mtu hafai lakini yeye Mbowe hakosei????

KABURU alikuwa mbaya, Mbowe ndio mwema

CHACHA WANGWE mbaya, Mbowe mzuri...

MWIGAMBA mbaya, Mbowe yeye mwema..

ZITTO hafai, Mbowe ni mwema

KITILA MKUMBO hafai, Mbowe mzuri

WAITARA was wrong, Mbowe was right

SELASINI hafai, Mbowe mwema

CECIL MWAMBE hafai, Mbowe hakukosea

DR. SLAA hafai, Mbowe yeye ndio hakosei

DR. MASHINJI hafai, Mbowe ndio mwema...

SUMAYE hafai, Mbowe anaandamwa

LOWASSA hafai, Mbowe ndio yuko sahihi

GEKUL, KOMU, JAFAAR, MOLLEL; wabunge WACHAGA wenzie kibaao aliokotofishana nao, hawafai... YEYE ANAFAA MIAKA YOTE

WAITARA: KIJUKUU CHA MTUME KINAPATIKANA TANZANIA, FREEMAN MBOWE
 
Back
Top Bottom