kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Hii PCCB ni taasisi ya kuzuia na kupambana na ufisadi
fatuma Karume ameuliza je Matumizi ya mabaya ya fedha ni RUSHWA? Au ni kazi ya CAG? Waseme kuna KESI YA RUSHWA. Wasituambie matumizi MABAYA maana hata Serikalini, CAG kabaini kuna MATUMIZI MABAYA ya fedha, lakini haina maana ni RUSHWA chini ya SHERIA ya RUSHWA!!! Mamlaka ya PCCB ni kwa makosa ya rushwa tu!