Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Si
Siku mfumo kandamizi ukikuinukia wewe ndugu yako au watu wako wa karibu utaikumbuka mbowe na chadema nawaonea Sana huruma watu wanaofurahia hujuma dhidi ya chadema maana siku yakiwafika yule ambae alitakiwa awatetee hatakuwepo.mbowe kashindwa kuiendesha taasisi kubwa kama chadema mpaka imekufa.
sasa chadema imebaki kidoogo tweeter na jf ndo inaishiaishia ikifika october tunaizika rasmi.