Ndungai alipiga bilion 12 je? ni Rushwa?Simple definition ya rushwa Ni
" corruption is the use of public office for personal gain"
Kwa hiyo matumizi mabaya ya fedha za chama kwa kujinufaisha binafsi Ni rushwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chunguza bilion 12 za Ndungai kwanza mali za CCM viwanja vya CCM vilivyoporwa zile bilion 251 zilipotea wizara ya ujenzi, kivuko cha Dsm Bagamoyo, 10%ununuzi wa Ndege, ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge Takukuru waanzie huko kwanzaNa ile ya kuombwa ngono kwa wa viti maalum nayo ni ya CAG? Kukwepa kodi ya magari ni ya CAG? Ubadhilifu wa pesa na mali za umma Fatuma anataka uchunguzwe na nani?
Waanzie kwa zile bilion 12 za Ndungai kwanzaMatumizi mabaya ya fedha ni rushwa.
Hata Kigwangalla soon ataitwa na Takukuru!
Shangazi amewageuka wenzake maana bado amefunga sita za ziada baada ya kula idd
Chadema wamelikoroga wenyewe soon watakuwa jera kama viongozi wa TFF Mpaka wateme pesa zote
Na ile ya kuombwa ngono kwa wa viti maalum nayo ni ya CAG? Kukwepa kodi ya magari ni ya CAG? Ubadhilifu wa pesa na mali za umma Fatuma anataka uchunguzwe na nani?
Acha kukariri mkuu halmashauri sasahivi pesa Ni chache , wizarani pesa ndio zinapigwa sanaIngekuwa safi sana kama wangeanzia kwa wakurugenzi wa halmashauri maana huko ndio zimeibwa sana
Serious? Basi mama yako hafai japo alikuzaa!!!ebu mwombe msamaha mama yako haraka!!Fatuma ukimtoa mama yangu yeye ndo mwanamke mwenye akili nzuri kichwani.
Serious? Basi mama yako hafai japo alikuzaa!!!ebu mwombe msamaha mama yako haraka!!Fatuma ukimtoa mama yangu yeye ndo mwanamke mwenye akili nzuri kichwani.
Nimesikia pia kuna rushwa ya ngono! Hivi shangazi hili analionaje?Hivi kuna rushwa mbali ya "kutoa" na "kupokea" tena bila kuwa na lengo maalumu?
Ili kuitwa rushwa ni lazima itolewe, na ipokelewe kwa lengo fulani, sasa makubaliano waliyojiwekea kwenye chama chao utayaitaje rushwa?
Mbowe, our presidential Candidate 2020wamekosa makosa na sababu kwahiyo sasa ni kuhaha kutafuta makosa yoyote ili mradi wampate mbowe kama kawaida yao.
Kwa mara ya Kwanza kabisa Takukuru inaenda kufanya Jambo la kihistoria na nilakupongezwa Sana mkuuHuko CCM Mbona ndipo ilipojaa zaidi Mbona Takukuru hawaanjia huko?
Hahaha..ccm wanatapatapa ile mbaya, hawalali wala Kula bila kuitaja chadema....na Takukuru wakimaliza kuwahoji viongozi wa chadema wamwite na M'kiti wa ccm Taifa ahojiwe kwa nn ccm imepata hati chafu?Mtakuja shangaa viongozi Chadema wakishtakiwa kwa kumiliki line za simu sio zao
Japo sijafahamu defination yako ulipoitoa, hizo "personal gain" ndio zile ngonjera mnazoimba kila siku bila ushahidi?Simple definition ya rushwa Ni
" corruption is the use of public office for personal gain"
Kwa hiyo matumizi mabaya ya fedha za chama kwa kujinufaisha binafsi Ni rushwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si uende wewe au minara yako haisomi mkuuHaka kamama walie karibu nako mkatafutieni mume jamani
π π π π πmaana bado amefunga sita za ziada baada ya kula idd