Fatuma Karume: Matumizi ya fedha mabaya ni rushwa?

Si
mbowe kashindwa kuiendesha taasisi kubwa kama chadema mpaka imekufa.
sasa chadema imebaki kidoogo tweeter na jf ndo inaishiaishia ikifika october tunaizika rasmi.
Siku mfumo kandamizi ukikuinukia wewe ndugu yako au watu wako wa karibu utaikumbuka mbowe na chadema nawaonea Sana huruma watu wanaofurahia hujuma dhidi ya chadema maana siku yakiwafika yule ambae alitakiwa awatetee hatakuwepo.
 
Kwani haelewi Nini ? Matumizi mabaya yaweza kuwa Ni rushwa .Mbowe Kama alimhonga CAG yatakuwa Ni matumizi mazuri? Matumizi mabaya Ni Pandora box Takukuru wanaenda kulifungua.Kujua matumizi mabaya Ni nini? Baada ya kufungua TRA watatua chadema Kama Kuna wakopeshaji walikopesha chama kwa riba je walilipa Kodi stahiki? Na Wana leseni za ukopeshaji?
 
Shangazi amewageuka wenzake maana bado amefunga sita za ziada baada ya kula idd

Chadema wamelikoroga wenyewe soon watakuwa jera kama viongozi wa TFF Mpaka wateme pesa zote
Ndo mlivyopanga?
 
Ndio Ni rushwa ,ukitumia pesa vibaya jiandae kupambana na chama Cha kupambana na rushwa nchini
 
Kauliza swali muhimu sana.takukuru wanatumikishwa tu pale sio wenyewe.pale muhusika Ni Jpm
 
D
Kauliza swali muhimu sana.takukuru wanatumikishwa tu pale sio wenyewe.pale muhusika Ni Jpm
Dhuluma na hujuma zitabarikiwa kwenye madhabahu ya mchungaji fake wa river side .... ubungo
 
Nyumbu hao wameshakaririshwa.
 
Huyu kibibi shangazi kichwani hamna kitu nadhani nae sasa anatumia makalio, matumizi mabaya iwe ya pesa au madaraka yanaambatana na udanganyigu,
Ukishaenda kinyume na utaratibu mliojiwekea kama taasisi basi huo ni wizi,
Nakumbuka Raisi magufuli aliwapa kazi takukuru kufuatilia pesa za wakulima huko kusini zikiliwa na viongozi wa chama cha ushurika,
mbona sikumuona shangazi akihoji kuwa hizo sio rushwa?
Haka kabibi akiri zimeisha, na ndo maana babake alisema kamekosa dira.
Eti mwanasheria, kumbe siku hizi kuna wanasheria 0 kabisa.
 
Si
Siku mfumo kandamizi ukikuinukia wewe ndugu yako au watu wako wa karibu utaikumbuka mbowe na chadema nawaonea Sana huruma watu wanaofurahia hujuma dhidi ya chadema maana siku yakiwafika yule ambae alitakiwa awatetee hatakuwepo.
Wewe ndo wa kuonewa huruma, upo gizani hujitambui. Eti mfumo kandamizi, hivi jiulize hapo ulipo nani ameshawahi kukukandamiza wewe na familia yako? Umejazwa ujinga na wanasiasa nawwe unayabeba kama zuzu.
 
Zuzu

Zuzu mama yako mkuu
 
Ndio mambo ya idris amekamatwa kwa kucheka suti ya "MTU FURANI" ila kwa pilato kashitakiwa kwa kumiliki line ya simu ambayo siyo yake.
 
Kauliza swali muhimu sana.takukuru wanatumikishwa tu pale sio wenyewe.pale muhusika Ni Jpm
Mi naona ni swali la hovyo kuulizwa na mtu msomi kama Shangazi. Hivi mathalani kamati kuu ya CDM au baadhi yao wakiwekwa sawa na Mwenyekiti kuridhia kuwa anakidai chama ili chama kitoe pesa kumlipa, hiyo inaitwa nini??!
 
Shangazi amewageuka wenzake maana bado amefunga sita za ziada baada ya kula idd

Chadema wamelikoroga wenyewe soon watakuwa jera kama viongozi wa TFF Mpaka wateme pesa zote
Rudia kusoma kilichoandikwa na weka akili yako sawa utaelewa alichokimaanisha
 
unahangaika sana we malaya sijui unatatizo gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…