Fatuma Karume: Matumizi ya fedha mabaya ni rushwa?

Hii PCCB ni taasisi ya kuzuia na kupambana na ufisadi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa watoto waliokulia ikulu wana kazi sana.
 
Kuna zile tuhuma za rushwa kwa wabunge zilizotolewa live bungeni mara tatu kwa Waziri Mkuu na mara zote tatu kiti kikamkataza Waziri Mkuu asijibu. Hatimaye tuhuma zikaibuka kwenye mkutano wa rais na vyombo vya habari. Body language ikasema mengi. Ingawa ahadi ilitolewa kuwa TAKUKURU watafuatilia hizo tuhuma mpaka sasa hatujasikia lolote. Kwa tuhuma hizi nzito watawala wetu walupaswa kujisafisha hadharani; kunyamaza kimya ni kukiri kuwa tuhuma zina ukweli! Jinai haina muda. Kwa jinsi tunavyoenenda kama nchi kuna siku watu wenye kisasi watafukua makaburi.
 
Mahakama ndo itatafsiri siyo wewe Fatma Karume ulokulia Ikulu batani
 
Ngono kwa miaka 5 yote yupo kimya? Basi huyo alikuwa demu wake
Hata mke wako anaweza kukushitaki mahakamani kwa kosa la unyanyasaji wa kijinsia hususani kumbaka. Ndivyo sheria ilivyo. Halafu makosa ya jinai hayana time limit ya kufunguliwa mahakamani.
 
Hiyo ndiyo sala aliyowafundisha Mbowe. Endelea kuisali we mlokole wa Mbowe religion.
 
Mbona munampa likes bila kujiuliza kazi za PCCB. PCCB ina deal na corruption. Kiswahili kinaharibu mambo sana! Corruption siyo rushwa tu! Rushwa ni bribery.
 
Fatuma ukimtoa mama yangu yeye ndo mwanamke mwenye akili nzuri kichwani.
Ukoo wako una bahati mbaya sana! Hata shangazi hakuna kitu! Kaka nao wameoa hakuna kitu! dada zako hakuna kitu! Wadogo zake mama hakuna kitu! Pole!
 
Bribery siyo rushwa ni "hongo"
Mbona munampa likes bila kujiuliza kazi za PCCB. PCCB ina deal na corruption. Kiswahili kinaharibu mambo sana! Corruption siyo rushwa tu! Rushwa ni bribery.
 
mbowe kashindwa kuiendesha taasisi kubwa kama chadema mpaka imekufa.
sasa chadema imebaki kidoogo tweeter na jf ndo inaishiaishia ikifika october tunaizika rasmi.
Halafu mkishaizika mtakuwa mnajichotea tu rasilimali zetu,maana hatakuwepo wa kuwanyoshea kidole,tunajua mnawachukia Chadema kwasababu wanaharibia ulaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…