NDABANINGI SITHOLE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 529
- 530
Nani aliyeanza kuuomba huo muungano?,karume ndie alikuja usiku wa mansne kwa mashua kuja kuomba msaada KWE nyerere akiwa ameogopa kupinduliwa na akina prof babu,nyerere akamwanbia sina msaada zaidi ya kkuingiza ndani ya nchi yangu,tuungane,hawatakupindua, tafuta andiko la Frank karros aliekuwa balozi na jasusi wa C,I,A,miaka ya 60,Usalama gani ?hii hoja ni dhaifu sanaaaaaaa ukweli ni kwamba Zanzibar inahitajika sana katika muungano ndio maana Mwalimu Nyerere alikuwa tayari Kuzika nchi yake ya Tanganyika kwa ajili ya muungano
Hivi wewe uliyeleta hii mada unatumiwa nini?Hivi niamini kwamba hujui athari zake kwenye mustakabali mzima wa muungano wetu na kwamba repercussions zake ni very far reaching.Jamani muwe reasonable,leteni mada ambazo zitajenga muungano,sio kuubomoa.Fatuma Karume amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inaidai Serikali ya Jamhuri ya Muungano kiasi cha pesa cha trilioni 4.6 kutokana na kupokonywa kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo
Fatuma Karume ambaye mara kwa mara hujimwambafai kukulia Ikulu ya Zanzibar na hivyo kuwa anafahamu siri nyingi ameandika kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa Serikali ya Muungano imekuwa na kasumba ya kuipora pesa Zanzibar ambazo zipo Kikatiba na Kisheria juu ya Muungano
My take : Hawa Wazanzibar hawaridhiki kila siku wanaibuka na kero mpya ifike pahali tuunde Serikali moja including Zanzibar iwe kimkoa tu tutumie nguvu tu
USSRView attachment 1768148
Sasa inapofikia kila misaada ya wahisani inaishia bara wao hawapati,unategemea nini?,kama sheria ilibainisha hivyo wapewe,,kuendelea kwa zanzibar ni kuendelea kwa Tz,,ikiwa kama hongkong faida itatiririika hadi bara,,Kwani wameshalipa umeme wa Tanesco unaoenda huko? Kama vp kila mtu abaki kwake tu....yaani kimkoa tu kipewe asilimia 4%.....??
Wewe na meku tuuu!!?,hivi alishaga kushikisha ukuta akapiga mzigo,halafu akasepa? ,mbona unachuki sana na meku?Meko alishindwa na chuki zake zote zile, hakuna wakumfanya kitu, na bahati nzuri huwa hatukani, labda kama kosa lake huwa ni kusema ukweli, kutokana na uana harakati wake!!zama zile za kutishana zimekwisha jamani, kubalini tu matokeo.
Kivipi?,unataka kuvuruga muungano eeh?Hivi vinjemba vitaleta mapungufu gani tukiamua kuvipotezea....
Serikali moja haitawezekana, ila serikali tatu itawezekanana itamaliza kabisa hizi bla bla. Serikali ya Tanganyika ama Tanzania BaraTunahitaji kuwa na serikali moja kuondoa haya malumbano
Muungano haujali feza, uchumi wa pande 2 hizi ni tofauti sana lazima pawe na maelewano ya namna ya kugawana mikopo na kurejesha, na pale upande mmoja unapoelemewa ni lazima upade mwingine usaidie, Zanzibar harakisheni uchimbaji wa Mafuta haraka, kwani Mafuta yanaweza kushuka bei sana huko mbele na ikwa ni hasara.Fatuma Karume amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inaidai Serikali ya Jamhuri ya Muungano kiasi cha pesa cha trilioni 4.6 kutokana na kupokonywa kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo
Fatuma Karume ambaye mara kwa mara hujimwambafai kukulia Ikulu ya Zanzibar na hivyo kuwa anafahamu siri nyingi ameandika kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa Serikali ya Muungano imekuwa na kasumba ya kuipora pesa Zanzibar ambazo zipo Kikatiba na Kisheria juu ya Muungano
My take : Hawa Wazanzibar hawaridhiki kila siku wanaibuka na kero mpya ifike pahali tuunde Serikali moja including Zanzibar iwe kimkoa tu tutumie nguvu tu
USSRView attachment 1768148
Huwezi kuwa unakosoa tu kama mbuzi,,vyakukosoleka unakosoa[emoji16][emoji16]Fatma Karume kwenye hili kapotoshwa na Zitto. Na yeye inaelekea uzalendo unamshinda anaegemea zaidi asili yake. Hata spidi ya kukosoa uongozi imepungua sana toka tupate Rais mpya.
Amandla...
Hizi story ndio zinazowadanganya na kujiona mnaweza. Mtamuuzia nani wakati Bwawa huku linajengwa?Kwa taarifa yako Zanzibar ipo mbioni kuwekeza offshore wind turbines. Teknologia rafiki kwa mazingira na bei nafuu. Siku siyo nyingi Zanzibar itauza nishati ya umeme Tanganyika kupitia marine cable- reversal of fortunes. "The times they are a changin"
Lazima arudishiwe,kwanini walimnyang'anya kisiasa tu kama njia ya kutaka kumfunga mdomoJe shangazi atarudishwa IMMMA ? Leseno yake itarudishwa pia ? Muda mwalim mzuri
Yani unataka tugawane mkopo lakini deni mtuachie tulilipe wenyewe?
Uadilifu wako unaingia dosari unapoacha kukosoa kwa sababu ndugu yako ameshika nafasi. Watu watajiuliza kulikoni?Huwezi kuwa unakosoa tu kama mbuzi,,vyakukosoleka unakosoa[emoji16][emoji16]
My take : Hawa Wazanzibar hawaridhiki kila siku wanaibuka na kero mpya ifike pahali tuunde Serikali moja including Zanzibar iwe kimkoa tu tutumie nguvu tu
USSR
Fatuma Karume amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inaidai Serikali ya Jamhuri ya Muungano kiasi cha pesa cha trilioni 4.6 kutokana na kupokonywa kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo
Fatuma Karume ambaye mara kwa mara hujimwambafai kukulia Ikulu ya Zanzibar na hivyo kuwa anafahamu siri nyingi ameandika kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa Serikali ya Muungano imekuwa na kasumba ya kuipora pesa Zanzibar ambazo zipo Kikatiba na Kisheria juu ya Muungano
My take : Hawa Wazanzibar hawaridhiki kila siku wanaibuka na kero mpya ifike pahali tuunde Serikali moja including Zanzibar iwe kimkoa tu tutumie nguvu tu
USSRView attachment 1768148
Sawa kabisa. Ndio maana kabla ya madai haya wangefanya tathmini ya mchango wao katika kulipa madeni na kuendesha serikali ya JMT. Aidha, misaada wanayopokea kutoka JMT ( inasemekana kuna wakati serikali ya JMT inatoa pesa za kusaidia kulipa mishahara ya SMZ), madeni wanayodaiwa na taasisi mbalimbali za serikali ya JMT ( pamoja na waliyo samehewa). Kukimbilia tu kupiga hesabu za kile wanachoona ni stahiki na kupiga kelele kuwa wanadhulumiwa sio vizuri.Mkikubali kugawana mkopo na deni mutalipa nyote, Lakini kuwataka na wao walipe deni wakati mkopo kila siku munakula pekeenu huo si uungwana.