Tetesi: Faustine Mafwele aliyetuhumiwa kumteka Sativa kupandishwa cheo kuwa Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar?

Naskia fweleboy hachekagi na majambarika.
Majambarika wakiskia fweleboy wanaanza kulialia kimoyomoyo
 
Naskia fweleboy hachekagi na majambarika.
Majambarika wakiskia fweleboy wanaanza kulialia kimoyomoyo
Kwa sisi wananchi na raia wema tunaanzaje kumchukia mtu ambaye hacheki na majambarika ?!!

Mtu wa HIVYO ni mzalendo sana ,wa kuigwa na kupigiwa mfano...watu wa hivyo ndio wanaotufanya tuendelee kuuza pweza wetu ,kahawa ,migahawa ,vilabu na usiku tukajilalie kwa amani na utulivu...

Watu aina ya huyo Mafwele ndio wanaotufanya wananchi tusiwaone Al Shabaab ,ISIS na migaidi mingine ikitutishia utulivu na umoja wetu !

#Tumpongeze kamanda Mafwele !
 
Wakuu mlivyonikausha, hasira za Lissu zote mmekuja kunimalizia😅😅😅

Kukaimu si lazima mwenye cheo awe kaondolewa, ila hamuoni strange kwa Mafwele kuonekana sasa? Yaani kwanini sasa? Ndio mara ya kwanza kwa Kamanda kwenda likizo? Hata baada ya tuhuma kuwa raised against him (ambazo hazijawahi kujibiwa) lakini bado amekaimu nafasi hiyo? Hamuoni kama tunaandaliwa kitaalamu?
 
Kuna matendo ya dharau ila haya ndio Tanganyika inaonyeshwa sasa.Ninahisi kuna adhabu ya Mungu sio bure,zaburi 106:41 b Nao waliowachukukia wakawatawala.42Adui zao wakawaonea wakatiishwa chini ya mkono wao.Panahitajika rehema za Mungu haswa jamani
 
Profesa Ibrahim Juma alikaimu kwasababu tayari Jaji Mkuu aliyemtangulia alikuwa ameshastaafu rasmi hivyo mchakato wa kumtafuta JM mpya ulikuwa mezani.

Je, Muliro amestaafu rasmi? Maana kustaafu sio suala la siri lazima umma ungejulishwa tu.
Inawezekana Mulilo yupo likizo ya kustaafu
 
Kuna matendo ya dharau ila haya ndio Tanganyika inaonyeshwa sasa.Ninahisi kuna adhabu ya Mungu sio bure,zaburi 106:41 b Nao waliowachukukia wakawatawala.42Adui zao wakawaonea wakatiishwa chini ya mkono wao.Panahitajika rehema za Mungu haswa jamani
Mwenyezi Mungu anataka tuzitii mamlaka....acha kuweweseka kwa VITU VISIVYOKO.....
Utukufu wa DOLA ni mkubwa mno....akina Mafwele wanaifanyia kazi dola tukufu.....

#Taifa kwanza kivyovyote iwavyo!
 
Huko ni kupandishwa cheo Sasa?
Vyeo ni hivyo vya mabegani man. Nb
Bila shaka mwalimu wako wa mwandiko alipatwa shida sana kukufundisha !
 
Mwenyezi Mungu anataka tuzitii mamlaka....acha kuweweseka kwa VITU VISIVYOKO.....
Utukufu wa DOLA ni mkubwa mno....akina Mafwele wanaifanyia kazi dola tukufu.....

#Taifa kwanza kivyovyote iwavyo!
Duh!!
 
Awe IGP kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…