MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Hiyo nafasi ya Mkuu wa Polisi Kanda/Mkoa/Wilaya kawaida hukaimiwa na Mkuu wa Upelelezi wa eneo. Jamaa ni ZCO so kukaimu ni automatic. Ila kapanda cheo, sasa hivi ni SACP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sometimes nao wanazidi matusiHuyo #Sativa ni kijana yupi?, au ni yule mtukanaji watu wa twitter?
Hawana nidhamu wala adabu....wajinga sanaaaa....Sometimes nao wanazidi matusi
Kwa sisi wananchi na raia wema tunaanzaje kumchukia mtu ambaye hacheki na majambarika ?!!Naskia fweleboy hachekagi na majambarika.
Majambarika wakiskia fweleboy wanaanza kulialia kimoyomoyo
SijakuelewaUp....mmmbbbv na kukariri ni VAZI LAKO LA KILA IITWAYO LEO ...
Utaelewaje ya fikra ,nawe u kichweer mORANGE.....Sijakuelewa
Nyie mpendeni tu huku bado mnalia shida 🤣🤣🤣....karibu huku Handeni ,mama Samia anaiendeleza....jamani mama apendwa huyuuu.....
Basi sawaUtaelewaje ya fikra ,nawe u kichweer mORANGE.....
...wewe ndio una shida...Nyie mpendeni tu huku bado mnalia shida 🤣🤣🤣
Inawezekana Mulilo yupo likizo ya kustaafuProfesa Ibrahim Juma alikaimu kwasababu tayari Jaji Mkuu aliyemtangulia alikuwa ameshastaafu rasmi hivyo mchakato wa kumtafuta JM mpya ulikuwa mezani.
Je, Muliro amestaafu rasmi? Maana kustaafu sio suala la siri lazima umma ungejulishwa tu.
Mwenyezi Mungu anataka tuzitii mamlaka....acha kuweweseka kwa VITU VISIVYOKO.....Kuna matendo ya dharau ila haya ndio Tanganyika inaonyeshwa sasa.Ninahisi kuna adhabu ya Mungu sio bure,zaburi 106:41 b Nao waliowachukukia wakawatawala.42Adui zao wakawaonea wakatiishwa chini ya mkono wao.Panahitajika rehema za Mungu haswa jamani
Duh!!Mwenyezi Mungu anataka tuzitii mamlaka....acha kuweweseka kwa VITU VISIVYOKO.....
Utukufu wa DOLA ni mkubwa mno....akina Mafwele wanaifanyia kazi dola tukufu.....
#Taifa kwanza kivyovyote iwavyo!
Amka usiwe mjinga ndugu....Duh!!
Awe IGP kabisaWakuu,
Mafwele ndio aliyetoa taarifa ya wafanyalazi wa LBL kukamatwa Dar akiwa kama Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar.
Mpaka anakaimu inamaanisha nafasi ya Kamanda iko wazi, je Muriro anahamishwa na nafasi hiyo anakuja kuchukua Mafwele?
Pia soma: Wafanyakazi wengine 26 wa LBL wakamatwa Dar. Faustine Mafwele atoa tamko!
Sativa alimtaja yeye kama moja ya waliohusika kwenye utekaji wake.... amewakosha kwa utendaji mpaka wameona aje kutuliza midomo wakati tunaeleka kwenye uchaguzi mkuu?
Pia soma: Boniface Jacob: Sativa amemtambua ACP Faustine Mafwele miongoni mwa askari waliomhoji Oysterbay alipotekwa