Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
....karibu huku Handeni ,mama Samia anaiendeleza....jamani mama apendwa huyuuu.....Kazi kweli kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....karibu huku Handeni ,mama Samia anaiendeleza....jamani mama apendwa huyuuu.....Kazi kweli kweli
Dunia ina fursa za kutosha kila mtuMtu.wa maana kabisa tinno. Hana baya. Kampa sativa mkoba wa kikimbizi anakunja hela ya unhcr kila mwezi na nyumba juu.
Hana adabu yule mshenzi maneno kama Yale HATA kama huna mbegu za uzazi uwezi weka mtandaoniYule domo bwabwaji matusi mtaji......
Mama asemi tu anafanya matendo mkuu Mungu amlinde naangalia channel ten imebidi niagize....karibu huku Handeni ,mama Samia anaiendeleza....jamani mama apendwa huyuuu.....
Aaaaamin aaaaamin !Mama asemi tu anafanya matendo mkuu Mungu amlinde naangalia channel ten imebidi niagize
Drockoff gafla kwa furaahaa
Allah amrydishe salama dar
....kiburi ,mkaidi ,mjinga ,MSHAMBA MCHANGAMFU.....Hana adabu yule mshenzi maneno kama Yale HATA kama huna mbegu za uzazi uwezi weka mtandaoni
Ningemwina sativa ningechapa kabla ya kupeleka kawe akaombewe kwa Mwamposa dk
YAANAaaaamin aaaaamin !
Hakika mkuu wangu....mh.Rais Samia ni mama wa vitendo....
#Taifa kwanza kwa njia yoyote iwayo !!
Amen amen aaaamen !!YAAN
Tumwombeee kilaaaa iitwapo leoo
Mama ajawahi kushindwaaaaaa
Godbless you mom
Up....mmmbbbv na kukariri ni VAZI LAKO LA KILA IITWAYO LEO ...Nchi hii majambazi ndiyo yanaishi vizuri
Duh risasi ya kichwa kisa nyumba na allowance?Mtu.wa maana kabisa tinno. Hana baya. Kampa sativa mkoba wa kikimbizi anakunja hela ya unhcr kila mwezi na nyumba juu.
Ungejua utaratibu wa Kustaafu Jeshi ulivyo wala usingepata taabuProfesa Ibrahim Juma alikaimu kwasababu tayari Jaji Mkuu aliyemtangulia alikuwa ameshastaafu rasmi hivyo mchakato wa kumtafuta JM mpya ulikuwa mezani.
Je, Muliro amestaafu rasmi? Maana kustaafu sio suala la siri lazima umma ungejulishwa tu.
Huyu ndiye aliyewaua Soka na wenzake, sura yake ya kiuaji kabisaWakuu,
Mafwele ndio aliyetoa taarifa ya wafanyalazi wa LBL kukamatwa Dar akiwa kama Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar.
Mpaka anakaimu inamaanisha nafasi ya Kamanda iko wazi, je Muriro anahamishwa na nafasi hiyo anakuja kuchukua Mafwele?
Pia soma: Wafanyakazi wengine 26 wa LBL wakamatwa Dar. Faustine Mafwele atoa tamko!
Sativa alimtaja yeye kama moja ya waliohusika kwenye utekaji wake.... amewakosha kwa utendaji mpaka wameona aje kutuliza midomo wakati tunaeleka kwenye uchaguzi mkuu?
Pia soma: Boniface Jacob: Sativa amemtambua ACP Faustine Mafwele miongoni mwa askari waliomhoji Oysterbay alipotekwa
Wakuu,
Mafwele ndio aliyetoa taarifa ya wafanyalazi wa LBL kukamatwa Dar akiwa kama Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar.
Mpaka anakaimu inamaanisha nafasi ya Kamanda iko wazi, je Muriro anahamishwa na nafasi hiyo anakuja kuchukua Mafwele?
Pia soma: Wafanyakazi wengine 26 wa LBL wakamatwa Dar. Faustine Mafwele atoa tamko!
Sativa alimtaja yeye kama moja ya waliohusika kwenye utekaji wake.... amewakosha kwa utendaji mpaka wameona aje kutuliza midomo wakati tunaeleka kwenye uchaguzi mkuu?
Pia soma: Boniface Jacob: Sativa amemtambua ACP Faustine Mafwele miongoni mwa askari waliomhoji Oysterbay alipotekwa
Kutukana Watu na Kuua Watu upi hasa ni Uhalifu mbaya zaidi?Huyo #Sativa ni kijana yupi?, au ni yule mtukanaji watu wa twitter?
Wabongo wabinafsi sana! Kwanini usimueleweshe tu maana ya kukaimu? Ukaamua kumsimanga! Attack hoja na si mleta hoja.ww mleta mada kilaza..inamaana hujui maana ya kukaimu au ww unaelewa vp..kukaimu si kwamba mwenye ofisi hayupo kwa muda labda muliro yupo likizo au anaumwa basi anakaimisha madaraka ili kazi lazima ziendelee ofisini..isitoshe huyo mafwele ndio mkuu wa upelezi mkoa hio kesi ya hao matapeli inamuhusu..mtoa mada punguza hofu uko salama.
Mkarimu na Mnyenyekevu?Wanaomjua Kamanda Faustine Mafwele wanakuambia kuwa ni mtu mkarimu sana ...
Huyu bwana ni mzalendo mno ,analipenda sana taifa hili....ni mtu mwepesi kusaidia wenye shida mbalimbali....
Picha anayotengenezewa ni tofauti na uhalisia......wapiga domo mitandaoni wamejaa ujinga mwingi sanaaaa.....
Acha ujinga jomba....unapelekwa kijinga na akina Sativa ?!! KhaaaMkarimu na Mnyenyekevu?
Tangu lini uhalifu wa kuua Watu wengine imekuwa ni Ukarimu au unyenyekevu??
Kimsingi ukizingatia maadili ya Taasisi yoyote ile ya Umma yenye hadhi ya kuitwa Jeshi, Mtu huyo Kamwe hapaswi kuwa Mtumishi katika Taasisi ya namna hiyo.
IGP alipaswa amstaafishe huyu Askari Polisi ili kulinda maslahi mapana zaidi ya umma na ili kuweza kulinda hadhi ya hiyo Taasisi ya Mapolisi.
We have the 'black files' of that person.Acha ujinga jomba....unapelekwa kijinga na akina Sativa ?!! Khaaa
Huyo kamanda kamuua nani ?!!
Yeyote anaweza kutuhumiwa lolote na yeyote....haitoshi wewe kusema mna "black files" tu....We have the 'black files' of that person.
Huyo Mtu ameanza kulalamikiwa tangu zamani Sana huko miaka ya nyuma.
Usifikiri kwamba Watu wameanza kumchimba mtu huyu tangu hivi siku za karibu.