Kidogo inaleta mantikiNi ile habari ya Mafwele kulawitiwa na makomandoo wa JW? Huu ni uongo wa mchana kweupe. Ni scam kama ile ya mkojo wa sungura! Na huenda ni TISS wanaeneza hizi habari kwa lengo maalum.
Mna ushahidi?Mafwele amefirwa mtungo kisha wakamsokomeza bonge la jiti mkunduni, yuko hoi marinda yametatuliwa kinona, Muliro chupuchupu ila naye ataingia nyavuni soon.
Inauzwa Dollars 500 to 2000Hiyo video iko wapi?
Unamsifia Rais ambaye amefeli form four wakari kuna waru wana degree wapo mtaani. Kijijini kwetu watu kama nyie wanaitwa mbusu au ichoondi.Na nyinyi CHADEMA mnaotanguliza ujuaji kwenye kila jambo mlisomea Ulaya gani?.
Ndiyo.Mna ushahidi?
Ubaya ni kwamba hata MAFWELE the devil akitwaliwa watatengeneza SHETANI JINGINE mfumo ubadilishwe kwanza
SawaNdiyo.
Wewe ni mhamiaji haramuWewe kila siku unaniita mimi mnyarwanda unakuja na maneno ya mikwara mingi wakati hunijui, tumia lugha za kistaarabu hili jukwaa lina kila aina ya watu.
Baba yangu yupo ni mzee wa miaka 92 alifanya kazi pale wizara ya kilimo kwa miaka 30 akastaafu akiwa mmoja wa wasaidizi wa waziri. Marehemu mama yangu alikuwa mwalimu pale Forodhani.Wewe ni mhamiaji haramu
Unamsifia Rais ambaye amefeli form four wakari kuna waru wana degree wapo mtaani. Kijijini kwetu watu kama nyie wanaitwa mbusu au ichoondi.
Mmiliki wa facebook hakumaliza chuo kikuu leo kaajiri mamia ya wasomi wenye shahada za vyuo vikuu.Unamsifia Rais ambaye amefeli form four wakari kuna waru wana degree wapo mtaani. Kijijini kwetu watu kama nyie wanaitwa mbusu au ichoondi.
Wewe mhamiaji haramu huwezi kuni interrogate mimi mzawa.Baba yangu yupo ni mzee wa miaka 92 alifanya kazi pale wizara ya kilimo kwa miaka 30 akastaafu akiwa mmoja wa wasaidizi wa waziri. Marehemu mama yangu alikuwa mwalimu pale Forodhani.
Nimezaliwa Mwanza miaka zaidi ya 50 iliyopita mwenyeji wa mkoa wa Kagera wilaya ya Ngara.
Nitajie na wewe taarifa zako zenye kuuweka wazi utanzania wako, ili usiendelee kutumia hii mbinu chafu ya kibaguzi kwenye maongezi yetu.
Hizi kauli zako zinaonyesha jinsi unavyowahi kutokwa na mapovu.
Weka wewe taarifa zako tuupime huo utanzania wako kuliko kukimbilia mada za uhamiaji haramu wakati mimi ninaweza kuwa mtanzania halisi kuliko wewe.i
Wewe mhamiaji haramu huwezi kuni interrogate mimi mzawa.
1. Unasema mh Rais ana elimu ya kuungaunga?Mmiliki wa facebook hakumaliza chuo kikuu leo kaajiri mamia ya wasomi wenye shahada za vyuo vikuu.
Maishani ukiringia elimu yako utakufa kijinga na mapema sana. Waziri wa kilimo wa awamu ya kwanza ya JKN alikuwa profesa wa chuo kikuu, alifia kwao Ukerewe kwa ulevi wa gongo.
Samia na elimu yake ya kuungaunga anafanya makubwa sana kuliko wewe unayetambia vyeti huku ukiumizwa moyoni namna uliosoma nao ukiwazidi elimu darasani walivyokuzidi kimaisha.
Waliiponda elimu ya JPM wakisema ni PHD Feki wakaja kuiponda ya Samia wakisema ni form four.1. Unasema mh Rais ana elimu ya kuungaunga?
2. Unafanya kosa ambalo wengi walioshindwa shule wanamtumia MZ kama kichaka Chao cha ukilaza. MZ was genius aliacha shule kwasababu alikuwa mbele ya elimu wanayotoa, sio kama wengi ambao shule imewashinda.
Hizo 'lugha za kistaarabu" mnazihimiza sana, wakati matendo yenu siyo ya kistaarabu; kwa nini?Wewe kila siku unaniita mimi mnyarwanda unakuja na maneno ya mikwara mingi wakati hunijui, tumia lugha za kistaarabu hili jukwaa lina kila aina ya watu.
Yeye ni mhalifu.Hakuna chochote mnachoweza kumfanya SSH akiwa ameshakula kiapo cha urais, endelea tu kuuma meno kwa hasira.
Samia Suluhu Hassan ni mhalifu anayeteseka sana wakati huu. Wewe huna uwezo wowote wa kumsemea ni namna gani uhalifu alioufanya unavyomtesa sasa hivi. Upo hapa kupoteza muda tu.Waliiponda elimu ya JPM wakisema ni PHD Feki wakaja kuiponda ya Samia wakisema ni form four.
Wao wana elimu zao wanateseka huku mitaani wakati SSH keshaingia kwenye vitabu vya kumbukumbu ya TZ.
Aliyoyafanya SSH mpaka dakika hii ni makubwa sana kiasi kwamba yamezidi hiyo elimu yake wanayoiponda.
Ni bora mara mia aliyeuliwa na ulevi wa gongo bila ya kuwafanyia waTanzania uhalifu kama alivyo Samia, ambaye inajulikana wazi hana kitu chochote kichwani.Mmiliki wa facebook hakumaliza chuo kikuu leo kaajiri mamia ya wasomi wenye shahada za vyuo vikuu.
Maishani ukiringia elimu yako utakufa kijinga na mapema sana. Waziri wa kilimo wa awamu ya kwanza ya JKN alikuwa profesa wa chuo kikuu, alifia kwao Ukerewe kwa ulevi wa gongo.
Samia na elimu yake ya kuungaunga anafanya makubwa sana kuliko wewe unayetambia vyeti huku ukiumizwa moyoni namna uliosoma nao ukiwazidi elimu darasani walivyokuzidi kimaisha.
We mzee wa kubwabwaja vipi hujachoka tu? Naona mnapeana moyo kuwa mmemteka mafweleNi bora mara mia aliyeuliwa na ulevi wa gongo bila ya kuwafanyia waTanzania uhalifu kama alivyo Samia, ambaye inajulikana wazi hana kitu chochote kichwani.
Hawezi kujivunia uhalifu wa kuua waTanzania!
Hata nguruwe kama wewe unajivimbisha tu hapa kumpa sifa ambazo mwenyewe unaona hana!