Tetesi: Faustine Mafwele yamkuta mazito, Augustino Polepole amtaka ajitokeze hadharani

Hiyo ya kuwapatia mateso makali nakubali. Ni adhabu nzuri sana
 
Guys hebu tujifunze kuangalia ukali wa adhabu.

Mtu kaua watu zaidi ya 500 katika vipindi tofauti tofauti vya zaidi ya miaka 15

Then unamkamata siku 1 unampiga risasi ya kichwa anakufa, then what??

Unakuwa umefanya nini hapo kuonesha hiyo adhabu uliyompa inaendana na vifo vya wale watu 500 aliowaua?

Hivi unafikiri kwanini mlst wanted waliofanya maovu makubwa ambayo wanajua mwisho wao ni kifungo cha maisha gerezani au kuhukumiwa kunyongwa wakisha kosa option ya kujificha huishia kujiua?

Kwanini unafikiri wanajiua? Ni kwasababu kifo ni painless kulipo mateso.

Ishu ya kifo naweza kuafikiana na nyie ikiwa hakuna option nyingine, lakini kama watu wanaeza kuruka naye kama hivyo wakakaa naye chaka siku mbili 3 wakamfanyia undava basi hii ni adhabu tosha.
 
Hujashangaa wewe uliyekua unawaonea huruma waliotekwa lakini sasa hivi unafurahia wanaotekwa na kuuwawa?

Binadamu yoyote akitoka kwenye uovu na kwenda kwenye heri huyo hatumshangai bali anasaidiwa ili asirudi kwenye uovu Ila tunashangaa wale waliokua kwenye heri na kuanza kuwa waovu
 
Lete ushahidi mahali nilipofurahia mtu katekwa na kuuawa!! Lete quote yangu ikionesha hayo vinginevyo unaleta habari za umbeya na uchimvi!
 
"Mtu kaua watu 500 kwa kipindi cha miaka 15" huna uwezo wa kumkamata. Ataendelea kuua katika uhai wake wote atakaokuwa nao!

Hiyo unayoeleza wewe ni kama unao uwezo wa kumkamata bila ya wewe kudhurika.

Ili kuzuia asiendelee kuua katika miaka mingine 15, ukabahatika kumpata kwenye mazingira ya kumuwahi; kwa nini usimmalize ili usalimishe hao wahanga wengine mbele ya safari!

Hayo unayoeleza wewe, ni kama unao uwezo wa kumkamata na kupeleka mbele za sheria, hilo sote tungetamani iwe hivyo.
 
Aisee kweli maisha yanabadilika ,Leo wewe Etwege unafuatilia mpaka page ya Chadema blood??
Ndio maana mnaambiwa Kila siku jitahidini kuishi kwa haki, ukiwa Dunia hii usijivune Dunia inaweza kukufanya chochote muda wowote,
Now day tupe wote tunalia.
Etwege sio Eltwege usichanganye hayo majina
 
Huyu si ndio yule jamaa alitoa Ultimatum ya siku tatu?
 
Katika situation ambayo mtu huyo ni untouchable ni kweli nakubaliana na wewe kwenye hoja yako.

Na hii inaweza kuwa applied kwa viongozi wa juu ambao hawawezi kuwajibishwa kisheria.

Hapo ndipo utatamani ajitokeze sniper amalize kazi.

Lakini kwa mtu ambaye anaweza kukamatwa, achilia mbali kukamatwa kwa kuhusisha vyombo vya kisheria.

Yani kama unofficial kama ilivyofanyika kwa Mafwele, hao waliomkamata walitakiwa wavujishe hizo video za mateso waliyomfanyia.

Halafu waje wamuachie akiwa ana kilema cha kudumu, yani mbali na hicho kifiro watu wakavunja miguu na mikono.

Hili ni pigo kubwa na affect yake inaanzia kwenye psychology destruction.

Hiyo itakuwa ni alarm kwa wengine wenye kufanya ukatili kama wa Mafwele na hapo ndio adabu itapoanza.
 
Sipingani chochote na haya. yaliyoandkwa haoa.

Mtu kama Samia aliyesababisha vifo vya waTanzania kwa sababu zake za kutaka kutawala watu kwa nguvu, anastahili sana aendelee kuishi kwa mateso kuliko kuuliwa kwa dakika moja na watu kusahau..

Hii itampa nafasi ya kujutia maovu aliyowafanyia wengine
 
Huyu Afande Polepole hayuko serious kwa kweli.
Eti anasema jana alipita Kigamboni alipo mdogo wake Polepole,si angemchukua.
Halafu hivi inawezekanaje Polepole akawa bado yuko hai?
Lazima hao jamaa walishamuua.
Polepole na kaka yake wote wana akili sawa. Hutakiwi kustaajabu.

Vilevile Tanzania hii bado hakuna watu serious wa kumteka Mafwele, labda kumvizia kumdhuru ila sio kukaa nae masaa kadhaa.
Hii nchi raia wake ni wazuri sana ila siasa ndio zinaiharibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…