FBI walivyobaini utapeli na ugaidi wa Nabii Rashnishi toka India

Nabii Rajnishi, akiwa na walinzi wake
 

Attachments

  • images-6.jpeg
    46.1 KB · Views: 32
Nabii RAjNISHI alikua mtu humble Sana, ata siku anakamatwa anatabasamu tu, unaweza dhani , anasingiziwa.

Picha ni akiwa na bodyguards wake, inasemekana alkua na ma bodyguard wengi na msafara wake, unaweza dhani RAISI anapita
Story nzuri. Naona Mama J sasa hivi anakupa amani ya roho
 
Mkuu TAFUTA Video Za RAJNEESH au kwa jina maarufu OSHO au BAGWAN ,usipokuwa addicted kumsikiliza uje unipige mawe, OSHO ukimsikiliza una nafasi ndogo sana ya kuepuka kuwa muumini wake, Akili nyingi sana huyo Jamaa ,nyingi mno.
 
Mkuu TAFUTA Video Za RAJNEESH au kwa jina maarufu OSHO au BAGWAN ,usipokuwa addicted kumsikiliza uje unipige mawe, OSHO ukimsikiliza una nafasi ndogo sana ya kuepuka kuwa muumini wake, Akili nyingi sana huyo Jamaa ,nyingi mno.
Jamaa alkua na wisdom ya Hali yajuu Sana, Sasa Sijaelewa ilikuaje akaamua kufanya ugaidi namna Ile.
 
Nabii Rajnishi (Osho) pia alkua mwandishi mzur sn WA vitabu,

vitabu vyake viko Sana mitandaoni ,

ukisoma vitabu vyake unaelewa jamaa kweli ni alikua kichwa

na followers wake huwaambii kitu japo tayar keshakufa.

Vitabu vyake mitandaoni vinauzwa Bei mbaya sana
Mkuu TAFUTA Video Za RAJNEESH au kwa jina maarufu OSHO au BAGWAN ,usipokuwa addicted kumsikiliza uje unipige mawe, OSHO ukimsikiliza una nafasi ndogo sana ya kuepuka kuwa muumini wake, Akili nyingi sana huyo Jamaa ,nyingi mno.
 

Attachments

  • Screenshot_20250629-212306.png
    304.7 KB · Views: 33

Jamaa alkua na wisdom ya Hali yajuu Sana, Sasa Sijaelewa ilikuaje akaamua kufanya ugaidi namna Ile.
Hakuwa Dactari wa binadamu kama ulivyoandika alikuwa Lecturer wa chuo alikuwa anafundisha PHILOSOPHY, Mimi huyu bwana nimepata kusikiliza video zake nyingi mpaka nikaagiza Vitabu alivyopata kuandika Nikavinunua ninavyo mpaka ,A SUPER GENIOUS.
 
Nabii RASHNISHI punde TU baada ya kuachiliwa huru, alipanda ndege yake (private jet) na kwenda kutua jf Kennedy international airport, ambako alipanda ndege (Indian airways) na kwenda zake India. Hajawai kurudi Tena marekani, na ndege yake binfsi aliyoitelekeza pale jf Kennedy airport . Ilivokosa mwenyewe WA kulipia deni la parking and maintaince fees, serikali ikaitaifisha.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ndio, Nabii Rajneesh, anayejulikana zaidi kwa jina la Osho, alikuwa mwanafalsafa na kiongozi wa kiroho kutoka India. Alizaliwa mwaka 1931 na kufariki mwaka 1990. Alijulikana kwa mafundisho yake ya kipekee kuhusu:

  • Uhuru wa mtu binafsi
  • Maisha ya kiroho bila dini rasmi
  • Ngono kama njia ya kiroho (alitofautiana sana na mafundisho ya kawaida ya dini)
  • Ukombozi wa akili dhidi ya mila na desturi za kijamii

Osho alipata umaarufu mkubwa duniani kote, hasa kupitia vitabu na hotuba zake nyingi. Alianzisha jumuiya kubwa huko Oregon, Marekani, miaka ya 1980, iliyoitwa Rajneeshpuram, lakini ilihusishwa na migogoro mingi ya kisiasa, kisheria, na kijamii.

Aliwahi kushtakiwa kwa makosa kadhaa, akafukuzwa Marekani, na akarudi India hadi kifo chake.

Mafundisho yake bado yanafuatwa na watu wengi duniani kupitia vituo vya Osho Meditation Centers. Wengine wanamwona kama mwanga wa kiroho, huku wengine wakimkosoa kwa kuwa kontrovanshali.
 
kwa namna ulivyoandika, ni kama vile hii movement ya Rajneesh ilikua ya kikristo, kumbe ilikuwa religious movement ya imani za kihindi, hazifanani na ukristo. sijaelewa unaposema "kanisa lake" kanisa ni kwa wakristo, hao wahindi wana mahekalu yao kwa kmajina yao..usipotoshe.

a new religious movement inspired by the Indian mystic Bhagwan Shree Rajneesh (1931โ€“1990), also known as Osho.
 
Sio mtaalamu Sana WA kiswahili, Ila kanisa nilimaanisha Kama sehemu ya kuabudu, maana Rajnishi alkua kiongozi WA kiroho. Asante sn kunisahihisha
 
Shukran sn kwa kutia nyama nyama uzi huu, inavoonekana wamarekani hawakuzielewa falsafa zake.

Na inasemekana Nabii alikua na mahusiano na wanawake wengi Sana.

Kwake ngono ilikua Kama sehemu ya ibada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ