Bila kumdaka yeye kazi ingekuwa ngumu sanaThomas lyimo ni miongoni wa waliokamatwa kuisaidia usa, yeye alikuwa ni mfanyabiashara ya vyuma, akiwa na hardware kkoo gerezani na kimara, alikuwa na karakana ya kukunja mabati (plates) kwa ajili ya bodi za gari na shughuli mbalimbali) alikuwa anafaya baishara ya kuuza flat bars,square pipes,round pipes,z agle,u angle,angle zote na nondo,ni mteja mzuri wa kiwanda cha sita steel na kamal.
kazi ya wale magaid ilifanyika katika karakana yake bila kujua,walijua ni wateja tu kama wateja wengine
Wale ni wanadamu wanamapungufu na wanakosea sio malaika waleSasa twambie walivyopata Intel za uwepo mabomu ya Nuclear Iraq na walivyoyapata.
after all ilikuwa haikwepeki maana lazima watrace kazi ilifanyika wapiBila kumdaka yeye kazi ingekuwa ngumu sana
Jamaa awakurupuki. Kule Libya Ghadafi alipopanga kulipua ndege ya Wamarekani kwenye anga la UK. Mahesabu ilikuwa ndege idondokee baharini hivyo kufanya uchunguzi wa nini kimesababisha ajali uwe mgumu na isiwezekane. Bahati Mbaya Ndege ikaangukia kwenye makazi ya watu kule Lockerbie. Pale walipata mabaki ya electronic timer circuit iliyoundwa na Kampuni moja ya Uswis. FBI wakatia timu Uswis wakaomba wanunuzi wa zile timers boards. Kwenye list wakaona Libya walinunua circuit 12. Wakawabana waonyeshe walivyozitumia😂Ghadafi circuit 2 akakosa maelezo amezitumiaje , wakampa zile 2 zilizokutwa kwenye mabaki ya ajali ya Ndege na walipo connect the dots backward( always we connect the dots backward😁) wakaja gundua kuwa kuna majamaa wawili waliingiza mizigo yao (2-Briefcases (Samsonite- Brand) ambazo ndo mabomu yenyewe) ndani ya Ndege lakini awakupanda. (Now days ukishakaa kwenye kiti ndani ya ndege ndo mizigo yako inaingia nayo!) wale majamaa walikamatwa na wakakutwa ni majausi wabobezi wa Libya. Mmoja wamwemwachia miaka ya hivi karibuni toka jela kwa sababu za kibinadamu (ana kansa)Akili nyingi
Ndio sababu ya kumuandama gadaffi?Jamaa awakurupuki. Kule Libya Ghadafi alipopanga kulipua ndege ya Wamarekani kwenye anga la UK. Mahesabu ilikuwa ndege idondokee baharini hivyo kufanya uchunguzi wa nini kimesababisha ajali uwe mgumu na isiwezekane. Bahati Mbaya Ndege ikaangukia kwenye makazi ya watu kule Lockerbie. Pale walipata mabaki ya electronic timer circuit iliyoundwa na Kampuni moja ya Uswis. FBI wakatia timu Uswis wakaomba wanunuzi wa zile timers boards. Kwenye list wakaona Libya walinunua circuit 5. Wakawabana waonyeshe walivyozitumia😂Ghadafi circuit 2 akakosa maelezo amezitumiaje , wakampa zile 2 zilizokutwa kwenye mabaki ya ajali ya Ndege na walipo connect the dots backward( always we connect the dots backward😁) wakaja gundua kuwa kuna majamaa wawili waliingiza mizigo yao ndani ya Ndege lakini awakupanda. (Now days ukishakaa kwenye kiti ndani ya ndege ndo mizigo yako inaingia nayo!) wale majamaa walikamatwa na wakakutwa ni majausi wabobezi wa Libya. Mmoja wamwemwachia miaka ya hivi karibuni toka jela kwa sababu za kibinadamu (ana kansa)
Nakumbuka LY '98, tunasikia mlipuko tukiwa shule, badae ndio tunasikia ni bomu ubalozi wa US.Ule uzito wa ule mlipuko sitaweza kuusahau mpaka nakufa.!!!!!!!! Wakazi wa Magomeni watakuwa mashahidi kwenye hili!!!!!!!! Utafikiri lililipuliwa Magomeni!!!!!!!!!!!!!!! Kile kishindo hatari!!!!!!!!!!!!!
What next ndiyo tukajua CIA na FBI ni nani!!!!!!!! Ilala plus Magomeni ule mchakamchaka wake kama movie vile!!!!!!!!!!!!!
Du hatari sana hao jamaa wana akili sana huku bongo ndege ya precission air majaliwa ndio stearing wa mchezo na sinema imeishaJamaa awakurupuki. Kule Libya Ghadafi alipopanga kulipua ndege ya Wamarekani kwenye anga la UK. Mahesabu ilikuwa ndege idondokee baharini hivyo kufanya uchunguzi wa nini kimesababisha ajali uwe mgumu na isiwezekane. Bahati Mbaya Ndege ikaangukia kwenye makazi ya watu kule Lockerbie. Pale walipata mabaki ya electronic timer circuit iliyoundwa na Kampuni moja ya Uswis. FBI wakatia timu Uswis wakaomba wanunuzi wa zile timers boards. Kwenye list wakaona Libya walinunua circuit 5. Wakawabana waonyeshe walivyozitumia😂Ghadafi circuit 2 akakosa maelezo amezitumiaje , wakampa zile 2 zilizokutwa kwenye mabaki ya ajali ya Ndege na walipo connect the dots backward( always we connect the dots backward😁) wakaja gundua kuwa kuna majamaa wawili waliingiza mizigo yao ndani ya Ndege lakini awakupanda. (Now days ukishakaa kwenye kiti ndani ya ndege ndo mizigo yako inaingia nayo!) wale majamaa walikamatwa na wakakutwa ni majausi wabobezi wa Libya. Mmoja wamwemwachia miaka ya hivi karibuni toka jela kwa sababu za kibinadamu (ana kansa)
YesNdio sababu ya kumuandama gadaffi?
Nao magaidi kama wengine sema ugaidi wao ni wa kitaasisiWale ni wanadamu wanamapungufu na wanakosea sio malaila wale
Mwambie afike sehemu inaitwa Malindi atapata majibu.Brooooooo! Moshi hakuna machangu? Au moshi uloyofika wewe ipo Taveta?
Malindi Pub bado ipo? vp pub albertoMwambie afike sehemu inaitwa Malindi atapata majibu.
Sifahamu kama bado ipo maana ni siku nyingi sijapita maeneo hayo. Ingawa siku hizi machangu wa Moshi wamebadilisha njia ya kujiuza wanawatumia wafanyakazi wa mahotel makubwa kupata wateja.Malindi Pub bado ipo? vp pub alberto
Ni wapi nimesema hayo?.Nimeuliza huyu jamaa alidhurumiwa nini na US kwasababu Dhuruma ndiyo dai lao kuu, ikiwa huna jibu kaa kimya.Kwahiyo kwa sababu magaidi waliushambulia ubalozi wa Marekani, basi Marekani haiwezekani akafanya dhuluma? Halafu mtu akiwa anti US ni lazima awaunge mkono magaidi?
Na ukitresi hiyo chuki inakupeleka hadi kwenye kile kitabu chao.Ni chuki tu
Hatuwezi kuwafikia siJamaa wana intel nzuri sana yaani wakipata kianzio tu au source mojawapo basi inawaletea all information,
sijui na sisi kama vyombo vyetu vya ulinzi vina hizo methods au na zenyewe zina kamata kamata tu then mwenye pesa anatoka na asie na pesa ndiyo anapewa kesi.