Hiyo tarehe mambo ni moto kuna matukio mawili na wewe la 3 tena umekuja naloTarehe hiyo kuna kila sababu ya kutoka, kupiga kura kusherehekea besdei 😃
Oh yeah, I knew this would happen. Getting jumped by a mindless political party fanatic. I should've put a warning saying "This is simply an objective deduction, completely unbiased in anyway." Since you baboons are to stupid to understand a simple fact that a different perspective doesn't mean a rival or the enemy you've made up within your stupid heads. And you expect to do shit? Make a change? What change? At this rate the only change you'd ever make is a diaper of your wife's boyfriend's son. Alafu unaongelea mihemko? Really?Wamuweke under surveillance kivipi ? hivi unaelewa hata unachoandika? au ni mihemko tu imekujaa?
Kumuweka mtu under surveillance ni hatua ya uchunguzi/investigation, sio hatua ya kiulinzi/protection. Kwa hilo suala FBI wamuweke under surveillance kwa kitu kipi?
Kwa wenzetu maandamano ni kawaida, na sio kama huko kwenu Tanzania kuandamana inaonekana ni makosa hadi serikali kuanza kutishia watu kuwapiga na kuwaua.
Hapo FBI hawana sababu ya kumchunguza , bali kumlinda kutokana na tishio linaloonekana. Usifikiri FBI na CIA hawaelewi kinachoendelea nchini.
Wewe kweli ni kiazi.
Kuna video nyingi tu mitandaoni zipo FBI wakiwa wanarekodiwa, mazungumzo yao yalikuwa ya tahadhari, FBI hawana mamlaka ya kisheria kumzuia mtu asirekodi ikiwa hakuna taarifa za siri au kiusalama/classified. Hapo walikuwa wanatoa tahadhari tu, kulikuwa hakuna taarifa za siri wala kiusalama umeelewa wewe kiazi?
Linapokuja suala la usalama wa raia wao US sio kama hio nchi yenu inaongozwa na wanywa damu, mafisadi, wezi, matapeli na wala rushwa kila mahala, chawa kila mahala na watu wenye upeo mdogo, chawa na waliofeli shule ndio wanaongoza nchi. Linapokuja suala la usalama wa raia wao hawataki usen.ge wa mahusiano na nchi kama hio Tanzania, ambapo bado mnajikomba kwao kuomba omba pesa za miradi na kuchimba mashimo ya vyoo. Tanzania ndio ya kupambania hayo mahusiano si US, umeelewa? US hawaoni hasara kuwapiga vikwazo ikitokea mnadhuru raia wake.
Diplomasia ya kimataifa haifanyi FBI kufumbia macho taarifa za tishio kwa mtu yeyote ndani ya ardhi ya Marekani.
FBI italinda ardhi ya Marekani kwanza, ndipo mambo ya kidiplomasia yafuate kupitia wizara ya mambo ya nje/State Department.
Ni usalama kwanza, si siasa, kwenu huko Tanzagiza siasa kwanza halafu usalama wa raia baadae, watu wanaua hovyo wananchi kisa siasa.
US hawafanyi kazi kama hao nyumbu wenu, yaani kila unalozungumza unataka kuoanisha utendaji wa kazi wa US na TZ, kitu ambacho ni mbingu na ardhi.
Endelea kusubiri uone FBI watakavyo kana hayo madai ya Mange.
Ukiwa ndani ya ardhi ya Marekani iwe ni raia, mkazi, au hata mgeni mwenye visa halali , ukitajwa katika taarifa zozote zinazoweza kuashiria hatari ya kudhuriwa, FBI ina wajibu wa kisheria kukuonya.
Endelea kukaa hapo na wanywa gongo wenzio mkidanganyana na kujiona unafahamu mambo mengi kumbe mweupe tu.
Hapo maana yake potential victim na potential victimizer(s) wote wako kwenye radar.Diaspora nchini USA walipanga maandamano yatakayofanyika ubalozi wa Tanzania nchini USA Washington DC tarehe 17 Oct ambayo ni kesho.
Mange anasema akiwa anaelekea getini kuelekea kupanda ndege amekuta FBI wanamsubiri na kumuonya kuhusu kwenda kwenye maandamano wakidai anaweza kudhurika, amebaki anashangaa asijue FBI wamejuaje anaondoka wakati huo.
Kwenye Post yake aliyoiandika instagram ameandika kama ifuatavyo.
OMG!!! Sasa naboard ndege hapa naenda DC Kwenye maandamano ya kesho si nimekuta FBI wananisubiri kwenye gate? wananipa warning na wamenitaka niende kwenye office yao Jumatatu ili niwaelezee ni nini kinaendelea mpaka serikali ya Tanzania inataka kunidhuru?? OmG guys, mpaka natetemekaaaaa…
.
.
Watu wa kawaida wamenikataza kwenda kwenye haya maandamno, sasa hivi FBI wananikataza ila naachaje kwenda.? Mimi nawaambia watu wajirisk maisha yao alafu mimi mwenyewe niogope kufa? Hiyo haipo. Kama kuna mtu wao wamemtuma basi ndo itakuwa siku niliyopangiwa. Niombeeni guys
:
Ila shikamooooo Marekani, shikamoooo FBI. Jamani Ticket nimekata 24 hours ago, Wamejuaje nimekata hii ticket?
HASTA LA VICTORIA SIEMPRE (in PolePole’s voice )
View attachment 3489626
View attachment 3489627
Babu kama ingekua kweli,kwa nchi kama marekani saa hizi tungeshajua kesi yao inaendeshwa mahakama gani,habari zingine zinakuwaga za kizushiHawa ndio waliwadaka wale jamaa wanne waliotumwa huko , wapo makini na wanajua nini wanafanya.
Umeandika mambo mengi ambayo hayana maana lakini nitakujibu kukupa elimu kidogo.Oh yeah, I knew this would happen. Getting jumped by a mindless political party fanatic. I should've put a warning saying "This is simply an objective deduction, completely unbiased in anyway." Since you baboons are to stupid to understand a simple fact that a different perspective doesn't mean a rival or the enemy you've made up within your stupid heads. And you expect to do shit? Make a change? What change? At this rate the only change you'd ever make is a diaper of your wife's boyfriend's son. Alafu unaongelea mihemko? Really?
If your made up rivals do exist, then they don't have to do much besides coughing and watch you trip yourself before spiraling down the oblivion.
Umeandika mengi kunilalamikia and moaning kuhusu ufisadi na mauaji, assuming natetea chama fulani au utadhani mimi ndio hao mafisadi wauaji, hahaha. Unlike you, I'm not an idiot na wala sina muda wa kutetea chama chochote. I don't give a damn. So spare me the BS next time?
Kumuweka mtu under surveillance sio lazima kuwe na crime investigation, it could be for their safety. It's their job. Na hauwezi kumlinda mtu bila ya kumchunguza 24 hours. Unasoma, unakariri, then unakuja kubwabwaja hapa. This buffoon seriously think the only meaning of "surveillance" is related to crime investigation. Hahaha. What an idiot. General definition of surveillance is Close Observation or Continuous Monitoring of Anything. I can't believe I'm answering you. For God's sake.
No, no, no. Kuwepo na video nyingi kuonesha FBI wakitoa warning it doesn't mean wanaruhusu universally. Hiyo inategema na state husika na sheria zake.
Dooda head, hivi unaelewa mpaka kufikiwa hatua ya kutahadharishwa maana yake hicho kitu ni cha siri? Kama sio siri then kwanini wampe warning? Hivi unajua hata maana ya warning?
You missed my point, FBI hawatokanusha sababu she's irrelevant. Didn't you get it?
And for the amount of stupidity you've exhibited, I assure you, in 29 October, you won't do anything, no one will do anything, nothing will happen. Not only because there's nothing you can do, but even if there was, you wouldn't do it, because you can't do it. That's just who you're. And you will lose, always lose against whatever arch enemy you've made up inside that head.
You're childish. Goddamn dingus!
Jichanganye hii nchi ni nyepesi sana kama sio target.Issue hapo si serikali kuwa na taarifa za safari za watu, issue ni wao walivyo active, katika nchi ambayo ina wananchi karibu milioni 400, na ndege zinasafiri kwa wingi kwenda na kurudi ndani ya US na nje ila wanaweza kufuatilia mtu mmoja baada ya mwingine si suala la kulichukulia kwa urahisi.
Hao si TISS kiongozi ambapo kuna form IV failure..
Mpuuzi nini sasa nini cha mno hapo kubwa jinga wewe unashikiwa akili na kadada hapo kipi special hapo.we mshamba sana na upo nyuma ya muda sana kama serikali hii ndio ina watu design zenu basi kazi ipo isee!
Target ya wapi acha kuonge vitu huvifahamu...Jichanganye hii nchi ni nyepesi sana kama sio target.
Target ya wapi acha kuonge vitu huvifahamu...
Kenya na Rwanda kwenye sehemu ndogo tu ya Cyber wanawapiga mbali sana TZ.
Au unazungumza hivyo kwa sababu ya utekaji unaoendelea ? Utekaji hata rafiiki yako atakuuza hata Yuda alimuuza Yesu na akawapa location askari...
Acheni story za vijiweni, mtu mwenye basics tu za kiusalama na situational awareness atawapigisha mchakamchaka mpaka wachakae.
Yana maana na ndio maana imekubidi kunijulisha.Umeandika mambo mengi ambayo hayana maana lakini nitakujibu kukupa elimu kidogo.
Mara ya kwanza ulizungumzia wangemuweka Mange under surveillance, kwa maelezo unayotoa unataka kumaanisha protective intelligence lakini unachanganya na kuwa na mtu kuwa under surveillance.
Kuwa under surveillance lengo kuu ni hao wana usalama kukusanya ushahidi. Unatoka kazini wapo nyuma ya gari yako, unaingia ndani ya nyumba wanakuwa upande wa pili wa barabarawanakupiga picha, na wanaweza kukaa hata siku nzima wakichunguza nyendo zako. Umeelewa wewe kiazi?
Hapo watatumia vifaa vya digital surveillance , GPS, Camera n.k..
Unapokuwa under surveillance unakuwa mtuhumiwa au unayehusishwa na jambo linalochunguzwa. Na hii inayofanywa kwa mtu au kundi linaloshukiwa kufanya au kupanga jambo fulani la uhalifu, ujasusi, au tishio. Umeelewa wewe kichwa kigumu kama jiwe?
Protective intelligence ni kuchunguza, kutathmini, na kuzuia tishio/threat, kabla halijatokea kwa lengo la kulinda mtu n.k.
Protective intelligence inalenga kujua mapema kama kuna mtu, kundi, au hali inayoweza kusababisha madhara kwa mtu fulani. Haina maana mtu anayelindwa anachunguzwa, umesikia we taahira?
FBI ikipokea taarifa kwamba mwanaharakati fulani anaweza kudhuriwa kutokana na msimamo wake, wanatumia Protective Intelligence, sio kumuweka mtu under surveillance kama ulivyosema mwanzoni halafu bado unajitia mjuaji.
Ndio maana kwa mujibu wa huyo Mange anasema FBI wamemuita kumhoji kwanini wanataka kumdhuru, hii ina maana wanakusanya intel, hawajamuweka under surveillance. Umeelewa wewe tikiti maji?
Kitu kama hujui unasema unasaidiwa, vingine hapo ni porojo tu na sina muda wa kukujibu ila nilikuwa nataka nikuelimishe.
Maneno ya mkosaji baada ya kuzidiwa hoja.Yana maana na ndio maana imekubidi kunijulisha.
Umetumia zaidi ya nusu saa kuandika na kunilalamikia plus asking ChatGPT, so I'm sure una muda wa kutosha since you're jobless.
Nia ni kukujulisha kwamba Mange ni irrelevant, and you don't matter. Luckily umenielewa na ndio sababu umejibu kwa uchungu kutaka approval yangu. Unfortunately, I just don't care. I'm not your crying shoulder.
You're below me. This conversation ends here.
Nope, I just tend to ignore deluded, profanic idiots these days. For the literal definition of Surveillance from the Oxford dictionary is "(military, espionage) Systematic observation of places and people by visual, aural, electronic, photographic or other means." As you can see, there was never an argument here. I'm accurate beyond the perception and never wrong.Maneno ya mkosaji baada ya kuzidiwa hoja.
🤣
Baada ya kuona nondo zinashuka umejiona mjinga kweli kweli...
Hopefully umejifunza kitu...
Nafurahi nimekupa elimu.. kuhusu kuwa jobless si kweli...
You already messed up and cant even admit it , let me handle my own business...Nope, I just tend to ignore deluded, profanic idiots these days. For the literal definition of Surveillance from the Oxford dictionary is "(military, espionage) Systematic observation of places and people by visual, aural, electronic, photographic or other means." As you can see, there was never an argument here. I'm accurate beyond the perception and never wrong.
You'd have had my attention at 16, I was so aggressive back then. You keep that illusion up, though. But I warn you, it ain't healthy.
Hahaha, gotten wiser all of a sudden? I had to withhold the little "Oxford definition" just to watch how you'd respond. I knew you'd come down to that after checking it out, since you seem to take everything with "European scent" at face value or superficially while holding it high. From laughing emojis and profanity to "it's not worth it, I'm Gandhi now" that's an incredibly sharp 180 degrees turn over there, Einstein. It's a sign of admission and, at least, understanding. As I said, you're too predictable and simple. It's not an offence, it's the truth.You already messed up and cant even admit it , let me handle my own business...
no offense , but arguing with you aint really worth it..
No hard feelings...
Have a good day.