Pep Guardiola hakufukuzwa,kumbuka Pep alipewa kazi ya kufundisha Barca na Juan Laporta,Rosell hakuwa na uhusiano mzuri na Pep kuna mambo mengi ambayo Pep alishauri yafanyike Rossell hakuyatekeleza.Kabla hajapewa timu Pep alimwambia Laporta Etoo,Deco,Toure wauzwe na Laporta alitekeleza haraka,wakati wa Rosell alipendekeza Alves na Pique wauzwe but jamaa akagomaNdivyo mnavyojidanganya hivyo.
bado sijamkubali kwa sana ila nakubali alionyesha uhodari wake,ila tatizo la wabrazil wengi Neymar 1wapo ni mabishoror na viwango vyao vinashuka mapema,ni mzuri ila nidhamu anatakiwa awe nayo,Messi namkubali hana nyodo ana nidhamu ya juu,sasa huyu Neymar abadilike tabia,ila Barca itamfunza,hasipobadilika nae atafuata mkumbo wa kina Zlatan,Villa,Hleb,Gudjohnson,Mendieta nk waliong'ara ila walipofika Barca wakashindwaGutierez,tumeshamuona Neymar kwenye confederation, haya niambie,bado unabisha au tupo pamoja sasa kwamba dogo mkali na atawafaa sana?
bado sijamkubali kwa sana ila nakubali alionyesha uhodari wake,ila tatizo la wabrazil wengi Neymar 1wapo ni mabishoror na viwango vyao vinashuka mapema,ni mzuri ila nidhamu anatakiwa awe nayo,Messi namkubali hana nyodo ana nidhamu ya juu,sasa huyu Neymar abadilike tabia,ila Barca itamfunza,hasipobadilika nae atafuata mkumbo wa kina Zlatan,Villa,Hleb,Gudjohnson,Mendieta nk waliong'ara ila walipofika Barca wakashindwa
naunga mkono hoja na mawazo yako haya 100% natumia simu ningekugongea like
hii habari sio nzuri naona president roselll muda mfupi uliopita ametangaza hili.. get well soon titoTito Vilanova to step down as a Barcelona coach kwa sababu ya matatizo ya Afya yake.