Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,897
- 10,213
Pep Guardiola hakufukuzwa,kumbuka Pep alipewa kazi ya kufundisha Barca na Juan Laporta,Rosell hakuwa na uhusiano mzuri na Pep kuna mambo mengi ambayo Pep alishauri yafanyike Rossell hakuyatekeleza.Kabla hajapewa timu Pep alimwambia Laporta Etoo,Deco,Toure wauzwe na Laporta alitekeleza haraka,wakati wa Rosell alipendekeza Alves na Pique wauzwe but jamaa akagomaNdivyo mnavyojidanganya hivyo.
