FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ndivyo mnavyojidanganya hivyo.
Pep Guardiola hakufukuzwa,kumbuka Pep alipewa kazi ya kufundisha Barca na Juan Laporta,Rosell hakuwa na uhusiano mzuri na Pep kuna mambo mengi ambayo Pep alishauri yafanyike Rossell hakuyatekeleza.Kabla hajapewa timu Pep alimwambia Laporta Etoo,Deco,Toure wauzwe na Laporta alitekeleza haraka,wakati wa Rosell alipendekeza Alves na Pique wauzwe but jamaa akagoma
 
Messi: I've not spoken to Guardiola since he
left

Huu unaitwa wivu wa kike
 
wakati leo dunia hususan ulimwengu wa marastafari wanaadhimisha kumbukumbu ya miaka 32 toka hayati Robert(BOB)Nesta Marley kuaga dunia,waspain hususan wakazi wa Fuentalbilla jimbo la Albacete Castila la Mancha na Barcelona catalunya yote kwa ujumla waanadhimisha miaka 29 ya kuzaliwa kwa shujaa mzaliwa wa Fuentelbilla Albacete Castila La Mancha si mwingine bali aliepeleka kombe la dunia kwa mara ya kwanza ktk nchi iliyo ktk himaya ya kifalme Spain,Andrea Iniesta Lujan kizazi cha La Masia alieenda mdogo akiwa na miaka 15 akianzia beki huku Puyol akianzia kuwa golikipa,Andrea Iniesta Lujan leo anatimiza miaka 29 (cumpleanos feliz Iniesta),kuanzia El Prat stadium(Espanyol),Sardinero Stadium(Racing Santander) na Vicente Calderon Stadium(Atletico Madrid)ni raha tupu kila wakimuona Iniesta.Hii ni picha akiwa na mwanae wa kike mwenye umri anakimbilia mwaka 1 mwezi novemba nadhani http://headbandsandheartbreak.files.wordpress.com/2011/05/iniesta-and-daughter.jpg?w=490&h=542
 
wakati leo dunia hususan ulimwengu wa marastafari wanaadhimisha kumbukumbu ya miaka 32 toka hayati Robert(BOB)Nesta Marley kuaga dunia,waspain hususan wakazi wa Fuentalbilla jimbo la Albacete Castila la Mancha na Barcelona catalunya yote kwa ujumla waanadhimisha miaka 29 ya kuzaliwa kwa shujaa mzaliwa wa Fuentelbilla Albacete Castila La Mancha si mwingine bali aliepeleka kombe la dunia kwa mara ya kwanza ktk nchi iliyo ktk himaya ya kifalme Spain,Andrea Iniesta Lujan kizazi cha La Masia alieenda mdogo akiwa na miaka 15 akianzia beki huku Puyol akianzia kuwa golikipa,Andrea Iniesta Lujan leo anatimiza miaka 29 (cumpleanos feliz Iniesta),kuanzia El Prat stadium(Espanyol),Sardinero Stadium(Racing Santander) na Vicente Calderon Stadium(Atletico Madrid)ni raha tupu kila wakimuona Iniesta.Hii ni picha akiwa na mwanae wa kike mwenye umri anakimbilia miaka 2 sasa
http://headbandsandheartbreak.files.wordpress.com/2011/05/iniesta-and-daughter.jpg?w=490&h=542
 
espanyol inabidi wabane hivihivi adui muombee njaa

La Liga – HT Score: Espanyol 1-0 Real Madrid
hope leo madrid atakaa tu kwa espanyol tubebe ndoo mapema tupumzike .. VISCA EL BARCA
 
HUREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.................
BARCELONA WIN LA LIGA! Espanyol's 1-1 draw with Real Madrid leaves Mourinho's men unable to make up the gap on the league leaders.
 
  • Thanks
Reactions: Aza
article-2323977-19C2EE83000005DC-68_634x585.jpg






Catalunya
 
Leo tarehe 16 julai ni siku ya kuzaliwa ya Sergio Busquets i Burgos,na ndiyo 7bu ilimfanya achague jezi namba 16 ktk FC Barcelona na timu ya Taifa(La Furia Roja)Spain.
 
Gutierez,tumeshamuona Neymar kwenye confederation, haya niambie,bado unabisha au tupo pamoja sasa kwamba dogo mkali na atawafaa sana?
 
Gutierez,tumeshamuona Neymar kwenye confederation, haya niambie,bado unabisha au tupo pamoja sasa kwamba dogo mkali na atawafaa sana?
bado sijamkubali kwa sana ila nakubali alionyesha uhodari wake,ila tatizo la wabrazil wengi Neymar 1wapo ni mabishoror na viwango vyao vinashuka mapema,ni mzuri ila nidhamu anatakiwa awe nayo,Messi namkubali hana nyodo ana nidhamu ya juu,sasa huyu Neymar abadilike tabia,ila Barca itamfunza,hasipobadilika nae atafuata mkumbo wa kina Zlatan,Villa,Hleb,Gudjohnson,Mendieta nk waliong'ara ila walipofika Barca wakashindwa
 
Tito Vilanova to step down as a Barcelona coach kwa sababu ya matatizo ya Afya yake.
 
bado sijamkubali kwa sana ila nakubali alionyesha uhodari wake,ila tatizo la wabrazil wengi Neymar 1wapo ni mabishoror na viwango vyao vinashuka mapema,ni mzuri ila nidhamu anatakiwa awe nayo,Messi namkubali hana nyodo ana nidhamu ya juu,sasa huyu Neymar abadilike tabia,ila Barca itamfunza,hasipobadilika nae atafuata mkumbo wa kina Zlatan,Villa,Hleb,Gudjohnson,Mendieta nk waliong'ara ila walipofika Barca wakashindwa

naunga mkono hoja na mawazo yako haya 100% natumia simu ningekugongea like
 
Tito Vilanova to step down as a Barcelona coach kwa sababu ya matatizo ya Afya yake.
hii habari sio nzuri naona president roselll muda mfupi uliopita ametangaza hili.. get well soon tito
natumai tutapata kocha mpya na beki mpya imara.. visca el barca............
 
Back
Top Bottom