FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Leo ni sikukuu ya yellow cards hapa Celtic park,Samaras anapigwa yellow!..Fabregas anatoka anaingia Tello!
 
Neymar anakabwa na wanamieleka watatu,kaazi kweli..Iniesta,Tello..Iniesta,wanapoteza pale Barca..Mulgrew..Ambrose..Samaras..Shakira anawanyang'anya..Adriano..Xavi..Busqets,Alves,..Adriano,Barca wameanza kutengeneza mwezi ndani ya goli la Celtic..
 
Mkuu, nyumba ndogo kumbe catalunya?
 
Dah,Milan wamekoswa goli dakika za majeruhi..gooo Denswel kawapiga Milani goli la jioni Chombaa jogoo kasinzia!Penaat jogoo Kawika,milan wamepata penati Ballotelii jionii moja mbili kookoliikoo..Balloteli anaiokoa Milan na mpira umekwishaa!ah kumbe hapa kwa Barca thread,kwi kwii ngoja nirudi supersort 3..
 
He..huku nako mpira umekwisha au kuna matangazo katikati ya match,no umekwisha,sijui ngapi ngapi ngojeni matangazo yaishe..
 
Mkuu, nyumba ndogo kumbe catalunya?

no,nimejiskia tu kutazama hii mechi manake Gutierez na mwenzie Aleyn wameondoka na Guardiola wao!umemuona Chomba?kama kawaida yake kapigwa goli dk ya 90,jogoo akawika dk ya 93!huyu Chomba huyu na huyu jogoo wake,we mwache tu!kila siku magoli ya jioni!
 
Itabidi tumpeleke Mlingotini Mkuu, maanake msiba wa jirani ni msiba wetu pia!
 
Itabidi tumpeleke Mlingotini Mkuu, maanake msiba wa jirani ni msiba wetu pia!

huu ujirani wa Chomba ni wa siku za furaha tu,misibani anatugeuka siku ile tumeshikwa Copenhagen unazikumbuka "shombo" alizomwaga?ooh,sijui juve kashikwa nanihii zake,ooh,uncle Festa sijui nini..leo uncle Festa zamu yake waholanzi wamemminya nanihii zake,kwi kwii!
 
Sameheme 7 X 70
 
Barcelona charged with tax fraud over signing of Neymar

Barcelona have been charged by a Spanish court with committing tax fraud in the signing of Brazil forward Neymar last year, a court spokesman has confirmed.

"Judge Pablo Ruz has charged FC Barcelona with an infringement against the tax authority relating to the purchase of the Brazilian player," the spokesman said.

Barca denied wrongdoing after local media reported on Wednesday that Spain's public prosecutor had asked Judge Ruz to lay fraud charges against the club.

"The club's actions have, at all times, regarding that operation (to sign Neymar) and in line with the available information, been fully compliant with existing law," Barca said in a statement.

The Spanish champions added they would be sending legal representatives to court "in the coming days" to defend their rights and interests.

"At the same time (Barca) states its complete availability to collaborate with the justice authorities in this process, as it has been doing from the first moment, or in any other that might require its intervention."

Neymar's high-profile move from Santos in the close season is also being investigated for possible misappropriation of funds following a complaint from a Barca member.

Sandro Rosell, who was named in the lawsuit but denies wrongdoing, stepped down as president last month. He said he wanted to protect the club's image and alleged he and his family had been threatened.

Rosell was replaced by his deputy Josep Bartomeu who said Neymar cost Barca 86.2 million euros (£68m), including payments to the player and his family, and not 57.1 million euros as they originally said.

Barca initially refused to reveal all the details of the deal, citing a confidentiality agreement with Neymar's family, but Bartomeu announced that Neymar's father had given them permission to go public.
 
Mkuu, taarifa niliyonayo jambo hili liliisha kuwa solved na mambo hayo wapo mkuu kwani Barca ipo hapa hapa duniani.

Hiyo taarifa ni ya jana, peruzi mitandaoni utaipata, jana team yako ndio ilikua formally charged with fraud kuhusiana na uhamisho wa Neymar na kama kila kitu kitawekwa wazi inawezekana kabisa kwamba prsa iliyotumika kwenye uhamisho wa Neyma ni kubwa kuliko hata ya Bale
 
Haya wazee wa La masia mje mtetee uozo wenu huo
gutierezi, ALEYN, Jacobus
si tunachapa na kufunga mdomo watoto wa malkia hukohuko kwao na hela zao,soka limetengenezwa Spain hususan La Masia,u are welcome sana Mourinho,kocha ulie na rekodi mbaya ya kupoteza kila mkifika ktk mikwaju ya penati hata mkicheza na Swazi International ya Mwananyamala kwa mama Zakaria:evil:
 
Hahahahahahaaaa, sijakusikia kitambo sana, hasa hizo ngebe na majivuno yako, halafu nasikia wewe na Gang Chomba mmekimbia na pesa za Abajalo!

Nilichokuitia hujakijibu umeishia kumwaga mipasho tu, kumbe huwa mnatembeza mlungula wa maana mkitaka kumsajili mchezaji?
 
Last edited by a moderator:
si tunachapa na kufunga mdomo watoto wa malkia hukohuko kwao na hela zao,soka limetengenezwa Spain hususan La Masia,u are welcome sana Mourinho,kocha ulie na rekodi mbaya ya kupoteza kila mkifika ktk mikwaju ya penati hata mkicheza na Swazi International ya Mwananyamala kwa mama Zakaria:evil:

Wazee wa mlungula naona mmepata mume leo, eti mnamwita mpenzi Sociedad na kawalala bao tatu already, lol
 
Back
Top Bottom