Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
Jana kocha gerardo martino alikosea sana kumfanya song acheze na kuchelewa kumtoa wakati alionekana kapwaya pale kati.na pique anaendelea tu kuboronga na kucheza chini ya kiwango,na hili linafanya uhitaji wa barcelona kusajili beki wa kati kuwa wa lazima neymar hakuwa uwanjani kwa mujibu wangu,ingawaje ni mapema sana ila kwa style hii kuna kila dalili kombe kwenda kwa madrid.