FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

madrid bila Ronaldo ni sawa na gagulo bila 'pichu'...ukija upepo tu basi umebaki uchi.

Na yule Abdalah Pepe yaani hana hata nafasi kwenye chama langu tukufu la mchangani yaani Abajalo

Teeh teeh te te teeh, da mdau kweli umemchoka mufti Abdalah Pepe yaani hata Abajalo hii inayoburuzwa kinesi kila kukicha imnyime fomu?

Yaani ugonjwa wa Bayern na Madrid hauna tofauti, wote ni wazuri sana mbele lkn ni wabovu sana nyuma hasa madrid, usishangae ukisikia wamefungana 4-3, ukicheza na timu iliyoenea kila idara kama A.madrid ni balaa tupu.
 
Namuonea huruma Martimo,timu ilishafika kwenye peak Pep akaamua kukimbia,matumaini yamebaki Copa Del Rey next week.Morinyo alikuwa sawa kusema hii ndio Barca mbovu
 
Ukweli ni kwamba, Martimo is not the right Coach for Barca, Barca inahitaji coach mpya Aisee...
 
Martimo sio kocha mbaya na alianza vizuri sana hapo Barca,tatizo kubwa management walifanya makosa kutosajili wachezaji wanaohitajika hasa defence na wachezaji wengi wamechoka baada ya kucheza mechi nyingi mfululizo(Valdez,Alves,Pique,Iniesta,Busquet,Xavi,Messi) wamecheza mfululizo karibu misimu 5 mfululizo
 
Mkuu Belo, katika wachezaji waliochoka hapo katika list uliyoitaja na wanahitaj kuondoka Barca ni Xavi na Alves, waliobak bado wana uwezo mkubwa sana wa kucheza mpira wa kiwango cha juu, ikiwa tu, Hawatopishana na mifumo ya kocha

Kwa mtazamo wangu mimi, Barcelona ni mbovu tu kwny defence, na ni tatzo la mda sana kwenye hii team, sema tu lilikuwa halionekan kwasababu ya umiliki wa mpira wa hali ya juu waliokuwa nao Barcelona..

Team inahitaji mtu mpya wa kuishape, tena inahitaji kocha kijana wa kurudsha Form ya Barca, mbona wana watoto wazur tu, kina Montoya, cuenca, tello, bartra, serg roberto na wengne weng ambao wanahtaj kuaminiwa kama walivyoaminiwa kina Messi, Pedro, Busquet, iniesta na wengne kibao kutoka La masia...

kwa mtazamo wangu, Anahitajika kocha kijana pale..ingawa management nayo inahitaj kuwajibika sana...Team haina umoja sahiv..
 
MosDef;

Sijamaanisha kwamba hawastahili kichezea Barca,wamecheza kikosi cha kwanza na timu ya taifa miaka 5 mfululizo so ni ngumu sana kucheza kwa viwango vya juu kwa miaka yote mfululizo Pep,Villanova wote walikuwa hawafanyi rotation.

Kama ulivyosema Barca walikuwa na tatizo la defence muda mrefu but walikuwa na viungo wazuri ambao walikuwa wanaficha weakness ya defence now viungo wamechoka ubovu unaonekana waziwazi

Hao watoto unaowasema hawawezi kufit kwenye system ndani ya muda mfupi,kumbuka kina Messi,Busquet,Pedro walikuta wakongwe wengi wakaingia kwenye system taratibu
 
Last edited by a moderator:

Nimekuelewa vizuri Mkuu Belo...

Umeelezea vizuri sana..
 
Haya sasa na uje ujieleze hapa

Wapi gutierez Jacobus na wacatalunya wengine?
Mkuu, tunaambiwa kwenye maandiko ya dini kuwa Mwenyezi Mungu alipumzika siku ya saba. Tunapunguza kasi kwa ajili ya kombe la dunia, huu ni ukweli Barca wachezaji wake takriban wote huchezea timu zao za taifa kasoro TZ tu hatunae.
 
Hakuna lolote, me nauliza Barcelona Football Club unanihibu na mambo ya World Cup. Hata wachezaji takribani wote wa Bayern Munich wataenda world cup

Acha mbwelambwela bana na ukubali tu hakuna marefu yasiyo na ncha, hadi kateam kajuzi Granada kamewafanya mbaya, na hapa utasema ni world cup au Euro?
 
Mwaka huu hawatogusa kombe lolote labda la kahawa japo nawatakia ushindi kwenye mechi yao ya mwisho dhidi ya Atletico Madrid, au nao watakuwa kama ile timu ya msomali aka mambumbumbu kwamba bora abebe ndoo rambaramba kuliko yeboyebo?
 
Mwaka huu hawatogusa kombe lolote labda la kahawa japo nawatakia ushindi kwenye mechi yao ya mwisho zida ya Atletico Madrid, au nao watakuwa kama ile timu ya msomali aka mambumbumbu bora abebe ndoo rambaramba kuliko yeboyebo?

Kesho kutwa mtawafunga? Maana na nyie bila CR7 ni sawa na gari bila suka
 
Hilo nalo neno lkn in sha Allah tutafanyiwa wepesi tuwatwange hawa, si unajua bondia mzoefu ukishaona mpinzani ana cutting juu ya jicho unarenga hapohapo kulazimisha technical knock out? Bado wana udwanzi wa vipigo nasi tutazidi kuwavuruga subiri uone mdau, siko hiyo ntakodisha washangiriaji lazima nimlete Shifta hapa na doli lake la GC wapige sambasoti za maana na kitaulo chake.
 
Kila la kheri Mkuu ila usisahau kuwa Barca kwa sasa ni sawa na mnyama aliyejeruhiwa
 
Hilo nalo neno lkn in sha Allah tutafanyiwa wepesi tuwatwange hawa, si unajua bondia mzoefu ukishaona mpinzani ana cutting juu ya jicho unarenga hapohapo kulazimisha technical knock out? Bado wana udwanzi wa vipigo nasi tutazidi kuwavuruga subiri uone mdau, siko hiyo ntakodisha washangiriaji lazima nimlete Shifta hapa na doli lake la GC wapige sambasoti za maana na kitaulo chake.

shaka ondoa muungwana
 
Mkuu, tunaambiwa kwenye maandiko ya dini kuwa Mwenyezi Mungu alipumzika siku ya saba. Tunapunguza kasi kwa ajili ya kombe la dunia, huu ni ukweli Barca wachezaji wake takriban wote huchezea timu zao za taifa kasoro TZ tu hatunae.

Mkuu mi nadhani sababu kubwa ni Muda umepita, kipindi Barca iko juu wachezaji wote walikua kwenye form ya hali ya juu na kiu ya vikombe, sasa waliweza kubeba vikombe vyotee, kwasasa ile kiu ya ki individual haipo, molali imeshuka na umri umesonga kwa wengi ivyo ni dhahiri hawatakua na Best Results all the time
 
shaka ondoa muungwana

Pamoja mkuu wakati ndio unataradab ila leo lazima nikuvalishe boxer hata kwa lazima ntamtafuta Mourinho tusaidiane kwenye hili zoezi, ujue sarakasi zako uwa zinatazamwa hata na watoto na mida mingine kitaulo uwa kinakufunguka na ulivyo mtata wala uchutami unaendelea tu kumwaga sambasoti kama huna akili nzuri vile matokeo yake unatupa shida wakubwa kuangalia pembeni.
 
Back
Top Bottom