Shadow..
Messi kama kawaida namshangilia ila kwenye hii fainali nimejitosa Man Utd! Litakalo kuwa na liwe tu. wewe sijui utashabikia timu gani J5?
...BJ wewe ni Man U damu damu, hata ukimsahngilia Messi pekee. Hta ingekuwa Arsenal inacheza na Barca, ningeendelea kuwashabikia Arsenal pamoja na kwamba namshangilia Thierry! 😀
Lete utabiri wako basi, J'5 mtashinda ngapi mamie?
Hatimaye tarehe 27 hiyooo, two days to final!..I cant wait to see the Champs this year! Man Utd wakishinda safi sana na nitafurahi!
Shadow..
Messi kama kawaida namshangilia ila kwenye hii fainali nimejitosa Man Utd! Litakalo kuwa na liwe tu. wewe sijui utashabikia timu gani J5?
Mbu yuko wapi au ndio kaenda kutambika na kuzungusha matunguli tufungwe kesho?