FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Shadow..
Messi kama kawaida namshangilia ila kwenye hii fainali nimejitosa Man Utd! Litakalo kuwa na liwe tu. wewe sijui utashabikia timu gani J5?

...BJ wewe ni Man U damu damu, hata ukimsahngilia Messi pekee. Hta ingekuwa Arsenal inacheza na Barca, ningeendelea kuwashabikia Arsenal pamoja na kwamba namshangilia Thierry! 😀

Lete utabiri wako basi, J'5 mtashinda ngapi mamie?
 
...BJ wewe ni Man U damu damu, hata ukimsahngilia Messi pekee. Hta ingekuwa Arsenal inacheza na Barca, ningeendelea kuwashabikia Arsenal pamoja na kwamba namshangilia Thierry! 😀

Lete utabiri wako basi, J'5 mtashinda ngapi mamie?

Mbu..
Asante kwa kunishtukia, Yes ni Man Utd for life!
Kuhusu utabiri kwakweli idadi ya magoli siyo mtabiri mzuri ila Man Utd watashinda, labda 2-0 ha ha...

Haya back to you, utabiri wako please!!!!
 
Tunawajua ARSENAL wote mmehamia Barcelona
 
Hatimaye tarehe 27 hiyooo, two days to final!..I cant wait to see the Champs this year! Man Utd wakishinda safi sana na nitafurahi!

BJ, Ila najua kwa ndani umevaa jezi ya Barca kwa hiyo huna noma huko 50/50
 
Shadow..
Messi kama kawaida namshangilia ila kwenye hii fainali nimejitosa Man Utd! Litakalo kuwa na liwe tu. wewe sijui utashabikia timu gani J5?


Timu yenye harufu ya the Gooners kuanzia kucheza mpira mpaka elements za Gooners ndo nitakayoishabikia siku hiyo.
 
Washabiki wa Arsenal bana, mna machungu na Man U utadhani ndio tumewasababishia timu yenu kusuasua. Vile vile tarehe 27 ndio mwisho wa kutumia ili jina.
May the best team win-Glory Glory Man United.
 
dah mashabiki wa arsenal nawapa pole sana kwa kuwa hamtopata wat u pray for kwa sababu mungu wenu keshazoea kujibu sala zenu za mwanzo wa msimu mkiomba walau kumaliza ligi mkiwa wa nne n amekua akitimiza wish yenu miaka nenda miaka rudi.

ila to b frank mechi ya kesho kutwa mbona ni patashika jezi kuchanika??ukizingatia barca hawa 3 of their back 4??na manutd watakua na rooney,ronaldo,tevez et al kufanay kazi ya kutafutana na nyavu...mbona itakua raha

de pundits hav been sayin msimu mzima kuwa barca r very poor when it comes to defendin corners na free kicks whereby we ol hw man utd r gud at dis with pipo like ronaldo n vidic hewani..

but nsibase sanaa na man utd kwa vile ni timu niipendayo, safu ya ushambuliaji na kiungo ya barca nayo inatisha if they wil b havin henry na iniesta fit.

yaan hiyo match wallahi sio ya kukosa hata dakika moja
 
Si mbaya, Arsenal wamecheza nusu fainali mbili na pia wameshika nafasi ya nne si haba hata kidogo. Mwakani ni mwaka wa Arsenal na sisi ma-"shareholders" tunaamini maneno ya Wenger aliosema kwenye mkutano kwamba atarekebisha safu ya ulinzi na kumtafuta kiungo mahili namba sita ili awe anasadia ngome ya "back four".

Pia huenda akamuuza Ade ali apate funds kwa ajili ya kununua wachezaji wawili au watatu hivi.

Hata hivyo nawapongeza Man U na Barcelona kwa kufikia fainali hio ya wafalme wa kabumbu kwenye bara la Ulaya.

Jumatano ni siku muhimu sana kwa "football".Wanakutana Ronaldo na Lionel Messi. Ni watu wawili ambao wana vipaji vya aina yake.

Ni vita vya timu mbili Barcelona inayocheza mtindo wa "total football" na Man U ambao wanaitwa "powerhouse" ya football wakitumia nguvu na kasi ambavyo kwa kweli viliwasadia dhidi ya Arsenal.
 
mashabiki wa manutd siko zote wanakuwa na timu yao
lakini mashabiki wa timu zingingine hawaishi kutangatanga...
sasa hivi arsenal,barca, madrid, liverpool, chelski et al wote wapo pamoja against manu....
kama chealsea hawa kushambulia, basi defence yabarcelona ijiandae kwa tsunami...
kama mesi, eto, xavi na wenzake hawakuoneka kwa kina terry unadhani wataoneka kwa watu wenye akili kama rio, vidic, evra

list ndiyo hiyo
1. van der sar

22. oshea 5.rio 15.vidic 3.evra

16. carick 8. anderson

11.giggs


13.park 10. rooney

7.ronaldo
 
4669d1243327948-ni-fainali-kati-ya-barcelona-na-man-u-nani-kumnyakua-mwali-roma-picsrv2.jpg


Cheki suti Taifa star wakienda kwenye hafla wanavaa matrack suti

Cheki man u wana hadi designer wao

Sir Alex Ferguson and designer Sir Paul Smith joke as the team pose in their Champions League final suits
 

Attachments

  • picsrv2.jpg
    picsrv2.jpg
    37.1 KB · Views: 78
Natumai designer atakuwa ameshawaandalia suti ya kuvaa kesho baada ya kukabidhiwa mwali
 
Mbu yuko wapi au ndio kaenda kutambika na kuzungusha matunguli tufungwe kesho?
 
Mbu yuko wapi au ndio kaenda kutambika na kuzungusha matunguli tufungwe kesho?

ha ha ha haaa! 😀
I like to move it move it, i loke to move it move it, i like to ...MOVE IT!
[ame=http://www.youtube.com/watch?v=OZQXMeRk_Ek]YouTube - fc barcelona messi,eto'o,henry[/ame]
Enjoy!
 
gemu ni kali wa2 wangu, na nategemea bw. skilz messi atasumbua sana mbavu ya man u! kina carick,scholes, though fergie ni mtamu wa mbinu, ataanza kwa kutafuta mbinu ya kufunga mapema ili kuwachanganya barca, utaona ronaldo na rooney wakipiga long range mapema na hii yaweza kuwasaidia, ila barca watapewa wakti mgumu ktk difence itakuwa muscle sana, nategemea park,anderson,carick,vidic watapiga kazi sana, bt barca wakianza ku score man watapigwa
 
Back
Top Bottom