FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ribéry, Robben
David Alaba,
Holger Badstuber na Benatia HAWATAKUWEPO
 
Pia msimu uliopita goal keeper alituuza sana, pia ujio wa rakitic hapo kati na mathieu kwenye defence ni neema kubwa, bayern ni wadhaifu kwa mabeki ila tukiweza kuwadhibiti kwenye wings kwisha habari yao, naomba ALVES gemu limkubaji kama lile la PSG.

Winga atakuwepo Neymar kwa upande wa kushoto na kulia atakuwepo Lionel Andres Messi.
 
Ila kajamaa kaitwacho Muller ni cha kukiangalia sana.
 
jackline1 karibu sana nyumbani. Hapa ndio home, achana na yale mapepo ya Real Madrid.
 
Last edited by a moderator:
Winga atakuwepo Neymar kwa upande wa kushoto na kulia atakuwepo Lionel Andres Messi.
Umekosea Barca hakuna winger maalum hao watatu wana criss cross na safari hii barca wanamwaga cross golini-Lazima Bayern wakae chini
 
Umekosea Barca hakuna winger maalum hao watatu wana criss cross na safari hii barca wanamwaga cross golini-Lazima Bayern wakae chini

-Sawa but nmetaja kuwa ni winga kutokana na Formation tuichezayo. Tuachane na hayo...
-Robben na Ribery watakuwepo?
 

It is a time now to prove to the world that we are the Barcelona the Champion of the Europe.....

Sababu tunayo,nguvu tunazo, ari tunayo lazima Bayern atulizwe final ni lazima kuingia, hakuna kitu kilicho muhimu kwetu kama hii ndoo ya CL kuja Camp neu.
#VamosBarca

Cc chebi Watu8
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Champions of the Europe mpaka sasa ni Real Madrid. Sitaki kubishana.
 
Last edited by a moderator:

Hakuna ugumu wa kushindwa kuwatoa Bayern.
 
Last edited by a moderator:

Mamdogo wangu kachemka utabiri wake bingwa Bayern bwana
 
Last edited by a moderator:
Yaani haifai hata kubishana bingwa ni Barca

Hujanielewa nadhani ninaposema mpaka sasa. Ninamaanisha kuwa Real ndio mtetezi.
Kuhusu nani atakayechukua hiyo sijui ila ni kati ya timu zote 4 zilizoingia 1/2 fainal.
Ila kwa sasa Champions ni Real na sio Barca.
Nadhani umenielewa ni somo rahisi lisilo hitaji hata tution
 

Relax.......Kwasasa hatudili na yaliyopita Bali yajayo........
 
Wapi chebi na Aleyn ?? Espanyol hao mnaizungumziaje mechi ya leo wadau??
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…