kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
Sana yaani eti sisi Madrid tumepata la liga kwa mbelekoHawa nyau wanachonga sana hawa
Timu Messi kule kwetu sijui wana hali gani. Sema tu hawapatikani. Wakatalunya mai futi [emoji16][emoji16][emoji16]
Unajichanganya sana Kwa kulinganisha individual achievement na Collective achievement
Tunapozungumzia performance kuna individual performance na Collective performance...
Hapa unapogusia makombe hayo ni Collective Performance.. Kuanzia mfagiaji hadi Uongozi wa juu...
Ndo maana Team ikishuka anayefukuzwa ni Kocha...
Kwanini Kocha?
Kwa sababu yeye ndiye Kiunganishi cha wote..
Yeye ndo mtendaji mkuu, anayesimamia shughuli za kila siku za kisoka...
Ukisema Messi kasababisha au anasababisha Team idrop una maana wachezaji wengne ni bora kumzidi.. na Messi kafail kutimiza majukumu yake (hachezi vizuri tena)
Hapa ungetuambia Mfungaji bora wa Barcelona ni Back (Pique, Lenglet au Semedo [emoji23][emoji23][emoji23])
Ungetuambia Messi amezidiwa hadi assists na Alba nk
Unasema Messi kashuka kwa kuangalia ufungaji magoal, wakati huo yeye ndo Mfungaji bora, sio Barça tu ila La Liga nzima...
Unasema Messi kashuka kiwango kwa kugusia Umri wake, maajabu sana .
Kuhusu umri Barcelona hawezi kufanya mabadiliko ya wakati mmoja kwa wakuwauza wachezaji, hapana mabadiliko yanakuwa ya taratibu,
Team kubwa kama Barcelona na Madrid hazifanyi mambo Kwa kubahatisha
Ndo maana Madrid akina Ramos, Modric bado wapo... Replacement infanyika taratibu...
Hivyo hivyo Kwa Barcelona...
Kwa Barcelona Messi ni zaidi ya mchezaji tumwonavyo..
Messi ni Nembo ya La Liga.. Hawezi kutoka kama tunavyodhani
Messi Hawezi kuuzwa, japo kweli itafika muda wa ukomo wa kucheza...
Messi ni MBUZI [emoji23][emoji23][emoji23] [emoji238]
[emoji38][emoji38]Aende zake tu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38]Aende zake tuView attachment 1537864
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Messi ni hashimu rungwe mweupeee!
Boss tuletee na magazeti ya Kingereza uko tuskie wanasemaje
😂😂😂😂😂😂😂Wale Wachezaji wa Bayern individual ni mmoja tu atapata namba Barcelona wengine wataanzia benchi,
😂😂😂😂Game ya mwisho bayern tuliwafanyaje?....wewe pambana na juve yako[emoji3]
😂😂😂😂Wale Wachezaji wa Bayern individual ni mmoja tu atapata namba Barcelona wengine wataanzia benchi,
😂😂😂😂Bayern ni Thiago
Thiago asipotembea Barcelona inashinda game kirahisi tu...
Ili Bayern icheze Thiago ndo mchezeshaji
Hawa akina Lewendoski sijui Glaby sijui nani ni Wakawaida sana mbele ya Barça [emoji23][emoji23][emoji23]
Nani alilala na viatu boss 😂😂😂😂Leo Lewandoski na pique, hatoki mtu hapo, kule Messi, Suarez, Griezmani, beki za Bayern zitalala na Viatu leo, bado nje Nina akina Dembele, Ansu Fati, Riqui Puig, wote wakata umeme hawa. (fullbacks zangu jordi Alba na Semedo wote wakata umeme) Bayern labda watuzidi physical strength lkn kwenye speed na creativity tupo juu zaidi yao
😂😂😂😂Angalia zisije zikajirudia zile tulizowafunga game za mwisho...Bayern hawatishi...dembele ndani, Vidal, [emoji39]...we jipe moyo...unaombea barca ifungwe, hilo Dua la kuku.
Nani kamiminiwa mkuu 😂😂😂Sina mengi ,leo tutashinda tena magoli ya kutosha tu ,tunaenda kuisimamisha dunia ya mpira
Hakika Buyern Munich hawataamini tutakavyo wamiminia
Keep the spirit up ,tuna kikosi chenye experience na Buyern spaces zao kubwa kule nyuma lazima maji waite mmaaa
Boss hali vipi nani weak?Unajua watu wanajua Bayern ni timu ambayo ni kikosi strong sana, hapana, Bayern ya sasa ni ya kawaida kabisa ila ikikutana na timu ipo weak inakupiga nyingi coz wanacheza kwa kushambulia kwa kasi.
Sitaki kuamini leo akina Kimmich na Davies, Alcantara leo watambe. Hiko kitu sio rahisi.
Bado sijaona mids nzuri za Bayern zitakazoweza kuweka uzito wa hali ya juu kwa Barca.
Kuna mda pia nafikiria kule mbele waanze tu Suarez, Griezmann na Dembele, then kati Messi, De Jong na Busquets.
MhHawa Bayern lazima wafe kibabe sana. Lenglet tunamuachia atembee na Lewandoski. Griezman iyo siku atupishe, tunawaweka Busquet, De Jong, Raktic na Sergi Roberto wakichafue Kati pale lazima Waite maji mma