FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Unajichanganya sana Kwa kulinganisha individual achievement na Collective achievement

Tunapozungumzia performance kuna individual performance na Collective performance...

Hapa unapogusia makombe hayo ni Collective Performance.. Kuanzia mfagiaji hadi Uongozi wa juu...

Ndo maana Team ikishuka anayefukuzwa ni Kocha...

Kwanini Kocha?


Kwa sababu yeye ndiye Kiunganishi cha wote..

Yeye ndo mtendaji mkuu, anayesimamia shughuli za kila siku za kisoka...

Ukisema Messi kasababisha au anasababisha Team idrop una maana wachezaji wengne ni bora kumzidi.. na Messi kafail kutimiza majukumu yake (hachezi vizuri tena)

Hapa ungetuambia Mfungaji bora wa Barcelona ni Back (Pique, Lenglet au Semedo [emoji23][emoji23][emoji23])

Ungetuambia Messi amezidiwa hadi assists na Alba nk

Unasema Messi kashuka kwa kuangalia ufungaji magoal, wakati huo yeye ndo Mfungaji bora, sio Barça tu ila La Liga nzima...

Unasema Messi kashuka kiwango kwa kugusia Umri wake, maajabu sana .

Kuhusu umri Barcelona hawezi kufanya mabadiliko ya wakati mmoja kwa wakuwauza wachezaji, hapana mabadiliko yanakuwa ya taratibu,


Team kubwa kama Barcelona na Madrid hazifanyi mambo Kwa kubahatisha

Ndo maana Madrid akina Ramos, Modric bado wapo... Replacement infanyika taratibu...

Hivyo hivyo Kwa Barcelona...

Kwa Barcelona Messi ni zaidi ya mchezaji tumwonavyo..

Messi ni Nembo ya La Liga.. Hawezi kutoka kama tunavyodhani


Messi Hawezi kuuzwa, japo kweli itafika muda wa ukomo wa kucheza...


Messi ni MBUZI [emoji23][emoji23][emoji23] [emoji238]

Gerald Pique anasema timu inatakiwa kusambuliwa na isukwe upya.

Anapingana na haya mawazo yako.
 
This team is disgrace to the Spanish football, yaani huko Twitter na Facebook tangu jana usiku watu wanaiponda la liga sababu ya hawahawa nyau hawa. Hii timu isiruhusiwe kucheza UEFA Champions league mwakani. Hawana uwezo mbuzi hawa
 
Wazeee mnaonaje tumfukuze Messi

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
[emoji38][emoji38]Aende zake tu
JamiiForums-1743493500.jpg
 
Maisha lazima yasonge mbele wanabarca wenzangu, we have to be loyal, tusikate tamaa na timu yetu, there ups and downs! Tusimame tena kama timu!
 
Bayern ni Thiago

Thiago asipotembea Barcelona inashinda game kirahisi tu...

Ili Bayern icheze Thiago ndo mchezeshaji

Hawa akina Lewendoski sijui Glaby sijui nani ni Wakawaida sana mbele ya Barça [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂
 
Leo Lewandoski na pique, hatoki mtu hapo, kule Messi, Suarez, Griezmani, beki za Bayern zitalala na Viatu leo, bado nje Nina akina Dembele, Ansu Fati, Riqui Puig, wote wakata umeme hawa. (fullbacks zangu jordi Alba na Semedo wote wakata umeme) Bayern labda watuzidi physical strength lkn kwenye speed na creativity tupo juu zaidi yao
Nani alilala na viatu boss 😂😂😂😂
 
Sina mengi ,leo tutashinda tena magoli ya kutosha tu ,tunaenda kuisimamisha dunia ya mpira
Hakika Buyern Munich hawataamini tutakavyo wamiminia
Keep the spirit up ,tuna kikosi chenye experience na Buyern spaces zao kubwa kule nyuma lazima maji waite mmaaa
Nani kamiminiwa mkuu 😂😂😂
 
Unajua watu wanajua Bayern ni timu ambayo ni kikosi strong sana, hapana, Bayern ya sasa ni ya kawaida kabisa ila ikikutana na timu ipo weak inakupiga nyingi coz wanacheza kwa kushambulia kwa kasi.

Sitaki kuamini leo akina Kimmich na Davies, Alcantara leo watambe. Hiko kitu sio rahisi.

Bado sijaona mids nzuri za Bayern zitakazoweza kuweka uzito wa hali ya juu kwa Barca.

Kuna mda pia nafikiria kule mbele waanze tu Suarez, Griezmann na Dembele, then kati Messi, De Jong na Busquets.
Boss hali vipi nani weak?
 
Back
Top Bottom