Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Baada ya asenane kwa sasa tuna BASENANEHawa Bayern lazima wafe kibabe sana. Lenglet tunamuachia atembee na Lewandoski. Griezman iyo siku atupishe, tunawaweka Busquet, De Jong, Raktic na Sergi Roberto wakichafue Kati pale lazima Waite maji mma
Sawa sawaAcheni uoga...bayern anakufa vizuri tu...yaani nyie mnaogopa kisa lewandosk yupo...bayern anagegedwa kweupee
Chelshit kadundwa 7 na barca kadundwa 8!! Mkuu una mkosi gani?Tubebe UEFA hamna wa kutuzuia
Mko juu zaidi yao na bado mkapigwa bao 8Leo Lewandoski na pique, hatoki mtu hapo, kule Messi, Suarez, Griezmani, beki za Bayern zitalala na Viatu leo, bado nje Nina akina Dembele, Ansu Fati, Riqui Puig, wote wakata umeme hawa. (fullbacks zangu jordi Alba na Semedo wote wakata umeme) Bayern labda watuzidi physical strength lkn kwenye speed na creativity tupo juu zaidi yao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We will annihilate them for sure, hatuwaogopi.
Sioni ni kwa namna gani The Bavarians wanaibuka kidedea.
Tots Unit Fem Forca.
Kweli umekaza kalioHili kombe letu mazee ..tukaze makalio tusitoke kapa..
Viva Barca..
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bayern anakufa vizuri tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sina mengi ,leo tutashinda tena magoli ya kutosha tu ,tunaenda kuisimamisha dunia ya mpira
Hakika Buyern Munich hawataamini tutakavyo wamiminia
Keep the spirit up ,tuna kikosi chenye experience na Buyern spaces zao kubwa kule nyuma lazima maji waite mmaaa
Kwa hiyo mwamba Ollachuga Oc kapigwa 15. Jamaa ana balaa kubwaChelshit kadundwa 7 na barca kadundwa 8!! Mkuu una mkosi gani?
Kwa kweli nimekumbuka kichapo cha brazil, goli 7Naangalia marudio hapa,
Barcelona wakikaza wanaweza kurusha goli zote 8 ,naona buyern wemechoka sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]BREAKING NEWS:
Uongozi wa Club ya Bayern Munchen unawaomba radhi mashabiki wa soka duniani kote kwa ushindi mwembamba wa magoli 8 walioupata dhidi ya Barcelona.