FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hawa Bayern lazima wafe kibabe sana. Lenglet tunamuachia atembee na Lewandoski. Griezman iyo siku atupishe, tunawaweka Busquet, De Jong, Raktic na Sergi Roberto wakichafue Kati pale lazima Waite maji mma
Baada ya asenane kwa sasa tuna BASENANE
 
Leo Lewandoski na pique, hatoki mtu hapo, kule Messi, Suarez, Griezmani, beki za Bayern zitalala na Viatu leo, bado nje Nina akina Dembele, Ansu Fati, Riqui Puig, wote wakata umeme hawa. (fullbacks zangu jordi Alba na Semedo wote wakata umeme) Bayern labda watuzidi physical strength lkn kwenye speed na creativity tupo juu zaidi yao
Mko juu zaidi yao na bado mkapigwa bao 8
 
Sina mengi ,leo tutashinda tena magoli ya kutosha tu ,tunaenda kuisimamisha dunia ya mpira
Hakika Buyern Munich hawataamini tutakavyo wamiminia
Keep the spirit up ,tuna kikosi chenye experience na Buyern spaces zao kubwa kule nyuma lazima maji waite mmaaa
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Boss tuletee na magazeti ya Kingereza uko tuskie wanasemaje

IMG_3221.jpg

IMG_3220.jpg

IMG_3219.jpg
 
Naangalia marudio hapa,

Barcelona wakikaza wanaweza kurusha goli zote 8 ,naona buyern wemechoka sana
 
BREAKING NEWS:

Uongozi wa Club ya Bayern Munchen unawaomba radhi mashabiki wa soka duniani kote kwa ushindi mwembamba wa magoli 8 walioupata dhidi ya Barcelona.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom