FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Messi adumu milele maana yeye ndio barcalona na Barcelona ni yeye washabiki wa Barcelona waseme Amen.
 
Nasikia tunaenda kufanya attempt kubwa nyingine kumchukua Lautaro Martinez... Inaelezwa yeye ndiye anabaki kipaumbele chetu nambari moja.... Ila kwanza naona wanataka kujua Suarez anaondokaje ondokaje then mipango iendelee..... Mbona tutakua watamu tu
 
Bila kusajili defenders angalau wawili wenye akili, tutaendelea kudhalilika sana. Defense ya Pique na Lenglet haitufai chochote hata tukiwa na Leonel Messi wawili kule mbele!

Kila adui akija kwetu anatupia, muda wa kushambulia tutautoa wapi?
 
Phillipe coutinho rasmi tunaye tena,Miralem Pjanic Huyu kiungo aliyekuja kwa kubadilishana na Arthur nae fresh,
Tusubirie akina Lautaro na Depay..japo kocha wa Lyon anasema Memphis keshachelewa kama kuondoka angeondoka august sasa wacha tusubirie ninani tutampata
 
Reactions: PNC
Kuna mipango ya kumvuta beki ya kulia toka arsenal Hector bellerin kuja Ku cover nafasi ya semedo pia
Kuna mawazo ya kumfanya Ansu acheze No 9 pale kati maana kwa sasa namba hiyo IPO empty,.. Kocha anatumaini na imani kubwa na ndg yake depay kuwa atafiti sana kati lkn bado Lyon hawajamwachia,kwa Mimi naona acha Ansu asimanishwe kati pale tumkomaze,kaonyesha kiwango kizuri timu ya taiga hivi majuzi
 
Reactions: PNC
Sasa kama hadi leo unashabikia Barcelona unatofauti gani na maiti
Aisee kwahiyo kwa tafsiri yako na akiri yako mashabiki wa Barca ni maiti? Mpaka hapa sina haja ya kuendelea kujibizana na mtu mfu kama wewe, enyoj your day
 
Reactions: PNC
Aisee kwahiyo kwa tafsiri yako na akiri yako mashabiki wa Barca ni maiti? Mpaka hapa sina haja ya kuendelea kujibizana na mtu mfu kama wewe, enyoj your day
Sasa mna timu nyie barca mbona hamtaki kukubali ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…