IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
Umeshammiss valverde sioJamani huyu kuman mbona hafukuzwi??
Yani Barca yangu inatia kichefu chefu
SaaaaanUmeshammiss valverde sio
Mimi binafsi ningependa tumpe muda koeman ni kocha mzuriJamani huyu kuman mbona hafukuzwi??
Yani Barca yangu inatia kichefu chefu
Bandugu habari za nyinyi natumai mko poa, me nilikua na wazo nawaomba viongozi wa humu wa hili group kama kuna uwezekano liwepo na whatsapp..
IMO
League table inasomaje!!!Dest, pedri, coutinho, de jong, braithwaite today they are on[emoji91][emoji91]View attachment 1637668
Tuko nafasi ya SabaLeague table inasomaje!!!