FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hii team ya mashoga sana sio kila mcheza wa zamani wa barca anaweza kuja kuwa kocha mzuri
 
Ila mashabiki wa barca. Mpeni heshima yake koeman. Huyu no miongoni wa wachezaji waliosajiriwa mapema sana mfumo wa tick tack ukianza hapo barcelina fc. Huyu koeman ameshiriki vizuri kuacha chakula ya ubongo hapo kwenu. Kubalini hali hii ni ya mpito. Mpeni muda atawasaidieni. Hamjui historia yenu kumbe
 
1st goal. Dest
1606252693075.gif
 
Bandugu habari za nyinyi natumai mko poa, me nilikua na wazo nawaomba viongozi wa humu wa hili group kama kuna uwezekano liwepo na whatsapp..


IMO
 
Back
Top Bottom