Amini usiamini Laporta kamfukuza Messi Barcelona kwa mpango ambao hata hautafanikisha kabla yeye hajalipa gharama zake
Ni suala la muda tu ,sikutaka kuandika ila imenilazimu niandike kidogo tu
Messi 100% alitamani kubakia Barcelona kwa lengo la kulipia fadhira kwa wanaoijua Barca vizuri hii ni mara ya pili ,mawimbi ya dhoruba ya financial crisis yanampitia Messi ,na yeye personally akalazimisha kukaa kwa kupunguza zaidi ya 50% ya salary na hadi alhamis inafika Leo hakutaka kuondoka ,kwa sababu hakua na plans zozote zile
Manguli wengi wa uchambuzi hadi sasa hamna mtu hata mmoja ameweza kutanabaisha sababu maalum ,kama issue ya FFP wachezaji wangapi wanaitia team hasara wangeweza kuuzwa?
Unalalamika uchumi ,then unamuuza mchezaji au jembe ambalo linakuzalishia we uliona wapi ,mchezaji anaongoza kuuza jezi ,uwanjani zaidi ya asilimia 40% ya ushindi contribution anatoa Messi ,watu wanaingia uwanjani kuona Messi anafanya nini Leo,The Messi Brand ,magics ?
Laporta anaumwa it's the matter of time tu ,kwa team ile hata Copa del Ley tutalisikia tu ,achilia mbali Laliga
Na mimi nawaambia huyu kocha kabla ya January ...ataondoka ,tujiandae kupigwa vipigo vya mbwa Koko
Yaani ile chanting ya Messi Messi uwanjani nobody gonna cover it
Unamtengeneza mfalme halafu unamfukuza ,are you crazy?
On the other side ,Messi ni next Bol Dors winner ,nakuhakikishieni PSG na France watahakikisha anachukua ya saba ,ana vigezo kushinda yeyote,and Financially jamaa mpunga wake ni mrefu sana kichauma zaidi ,the Messi impact anaongeza market share ya PSG ,so team imenufaika na itanufaika sana kwa kumsajili Messi
My prediction Messi atarudi Barcelona 2023 ,kama shujaa kwa free transfer huku tukiwa tumepigika sana na kusaga meno na Laporta ni suala la muda tu ,ile vote ya no confidence atapigiwa yeye