Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
Nyie kwa sasa munaenda kuwa matakataka rasmi.
Mkuu, siku zote najua you ni shabiki wa barca!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie kwa sasa munaenda kuwa matakataka rasmi.
Aagh nilisahau aise mkuu ..Mimi ni shabiki ndakindaki wa barca. Huyu Messi ni takataka tu. Ila na sisi tusipofanya usajili wa maana basi tutakuwa matakataka tu hata ligi yetu la liga itakuwa takataka tu maana itakosa mvuto.Mkuu, siku zote najua you ni shabiki wa barca!!!!
Kwan pale Barca alkuwa analipwa sh ngap?The French club have offered Messi an initial two-year deal, thought to be worth £25m a year after tax,.
Pound Million 25 kwa Mwaka NET PAY ni sawa na Tshs. 70 billion,
Sawa na Tshs. 5.8 billion kwa mwezi,
Sawa na 1.45 billion kwa wiki.
Hizi ni kufuru kwa PSG.
Barca akicheza Na PSG unanmshabikia nan?Kweli kabisa. Mi pia ntaendelea kuwa Barca hata siku Ile Wanacheza na Juve friendly game niliwacheki na walijituma kwakweli wakapata ushindi mnono wa goli 3 na wakawa wamemwaga Mfalme kwa ushindi hu0.
Muda utaongeaNyie kwa sasa munaenda kuwa matakataka rasmi.
Aagh nilisahau aise mkuu ..Mimi ni shabiki ndakindaki wa barca. Huyu Messi ni takataka tu. Ila na sisi tusipofanya usajili wa maana basi tutakuwa matakataka tu hata ligi yetu la liga itakuwa takataka tu maana itakosa mvuto.
Kwan pale Barca alkuwa analipwa sh ngap?
Barca akicheza Na PSG unanmshabikia nan?
Hapo vs Chelsea mbona ni magoli mawili tu huyu kiumbe alitufunga? Hilo la tatu alifunga lini mkuu? Kwa sasa huyu kiumbe hana maana tena. Kule PSG atavurunda tu na tukikutana nao basi tutapiga tu hakuna namna .
Hii barca ya akina Aguero na Depay itakuwa tu kama sevilla.Muda utaongea
Hapo vs Chelsea mbona ni magoli mawili tu huyu kiumbe alitufunga? Hilo la tatu alifunga lini mkuu? Kwa sasa huyu kiumbe hana maana tena. Kule PSG atavurunda tu na tukikutana nao basi tutapiga tu hakuna namna .
Mimi ni shabiki ndakindaki wa Barca..
Hapo vs Chelsea mbona ni magoli mawili tu huyu kiumbe alitufunga? Hilo la tatu alifunga lini mkuu? Kwa sasa huyu kiumbe hana maana tena. Kule PSG atavurunda tu na tukikutana nao basi tutapiga tu hakuna namna .
Mimi ni shabiki ndakindaki wa Barca..
Again...Muda utaongea mark my commentHii barca ya akina Aguero na Depay itakuwa tu kama sevilla.
Hizohizo pound zigeuze Kuwa shillingKumbe na ulaya wanalipa kwa shilingi! Nilikuwa sijui haya
Umecomment na kujikosoa mwenyeweAagh nilisahau aise mkuu ..Mimi ni shabiki ndakindaki wa barca. Huyu Messi ni takataka tu. Ila na sisi tusipofanya usajili wa maana basi tutakuwa matakataka tu hata ligi yetu la liga itakuwa takataka tu maana itakosa mvuto.
Hahahaha dah ebhana weee ..haya maisha acha tu mkuu..Umecomment na kujikosoa mwenyewe
Huyu akifika February 2022 ,mark my word atafukuzwa Barca kwa bad performance ya misulule iliyobakiaBarcelona boss Ronald Koeman after their 3-0 win against Juventus in the Joan Gamper Trophy
View attachment 1886018
Mkuu, unauliza vumbi stoo!! Barca.Barca akicheza Na PSG unanmshabikia nan?
Join mine now Fantasy Premier League, Official Fantasy Football Game of the Premier LeagueJoin fantasy Premier League tuone ubabe wako katika kupanga kikosi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Fantasy Premier League, Official Fantasy Football Game of the Premier League
Official Fantasy Premier League 2024/25. Free to play fantasy football game, set up your fantasy football team at the Official Premier League site.fantasy.premierleague.com