FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mkuu, siku zote najua you ni shabiki wa barca!!!!
Aagh nilisahau aise mkuu ..Mimi ni shabiki ndakindaki wa barca. Huyu Messi ni takataka tu. Ila na sisi tusipofanya usajili wa maana basi tutakuwa matakataka tu hata ligi yetu la liga itakuwa takataka tu maana itakosa mvuto.
 
The French club have offered Messi an initial two-year deal, thought to be worth £25m a year after tax,.

Pound Million 25 kwa Mwaka NET PAY ni sawa na Tshs. 70 billion,
Sawa na Tshs. 5.8 billion kwa mwezi,
Sawa na 1.45 billion kwa wiki.

Hizi ni kufuru kwa PSG.
Kwan pale Barca alkuwa analipwa sh ngap?
 
Kweli kabisa. Mi pia ntaendelea kuwa Barca hata siku Ile Wanacheza na Juve friendly game niliwacheki na walijituma kwakweli wakapata ushindi mnono wa goli 3 na wakawa wamemwaga Mfalme kwa ushindi hu0.
Barca akicheza Na PSG unanmshabikia nan?
 
Aagh nilisahau aise mkuu ..Mimi ni shabiki ndakindaki wa barca. Huyu Messi ni takataka tu. Ila na sisi tusipofanya usajili wa maana basi tutakuwa matakataka tu hata ligi yetu la liga itakuwa takataka tu maana itakosa mvuto.

Sawa shabiki ndakindaki

images (6).jpeg
 
Hapo vs Chelsea mbona ni magoli mawili tu huyu kiumbe alitufunga? Hilo la tatu alifunga lini mkuu? Kwa sasa huyu kiumbe hana maana tena. Kule PSG atavurunda tu na tukikutana nao basi tutapiga tu hakuna namna .
Mimi ni shabiki ndakindaki wa Barca..

Itakuwa ni shabiki mmoja tu duniani unaeshabikia barca then ukamchukia messi. Akili za wapi izo!

Narudia tena, wewe sio shsbiki wa barca.

Kwaheri
 
Hapo vs Chelsea mbona ni magoli mawili tu huyu kiumbe alitufunga? Hilo la tatu alifunga lini mkuu? Kwa sasa huyu kiumbe hana maana tena. Kule PSG atavurunda tu na tukikutana nao basi tutapiga tu hakuna namna .
Mimi ni shabiki ndakindaki wa Barca..

Kama uamini omba msaada kwa google
 
Aagh nilisahau aise mkuu ..Mimi ni shabiki ndakindaki wa barca. Huyu Messi ni takataka tu. Ila na sisi tusipofanya usajili wa maana basi tutakuwa matakataka tu hata ligi yetu la liga itakuwa takataka tu maana itakosa mvuto.
Umecomment na kujikosoa mwenyewe
 
Amini usiamini Laporta kamfukuza Messi Barcelona kwa mpango ambao hata hautafanikisha kabla yeye hajalipa gharama zake

Ni suala la muda tu ,sikutaka kuandika ila imenilazimu niandike kidogo tu

Messi 100% alitamani kubakia Barcelona kwa lengo la kulipia fadhira kwa wanaoijua Barca vizuri hii ni mara ya pili ,mawimbi ya dhoruba ya financial crisis yanampitia Messi ,na yeye personally akalazimisha kukaa kwa kupunguza zaidi ya 50% ya salary na hadi alhamis inafika Leo hakutaka kuondoka ,kwa sababu hakua na plans zozote zile

Manguli wengi wa uchambuzi hadi sasa hamna mtu hata mmoja ameweza kutanabaisha sababu maalum ,kama issue ya FFP wachezaji wangapi wanaitia team hasara wangeweza kuuzwa?

Unalalamika uchumi ,then unamuuza mchezaji au jembe ambalo linakuzalishia we uliona wapi ,mchezaji anaongoza kuuza jezi ,uwanjani zaidi ya asilimia 40% ya ushindi contribution anatoa Messi ,watu wanaingia uwanjani kuona Messi anafanya nini Leo,The Messi Brand ,magics ?

Laporta anaumwa it's the matter of time tu ,kwa team ile hata Copa del Ley tutalisikia tu ,achilia mbali Laliga

Na mimi nawaambia huyu kocha kabla ya January ...ataondoka ,tujiandae kupigwa vipigo vya mbwa Koko
Yaani ile chanting ya Messi Messi uwanjani nobody gonna cover it

Unamtengeneza mfalme halafu unamfukuza ,are you crazy?

On the other side ,Messi ni next Bol Dors winner ,nakuhakikishieni PSG na France watahakikisha anachukua ya saba ,ana vigezo kushinda yeyote,and Financially jamaa mpunga wake ni mrefu sana kichauma zaidi ,the Messi impact anaongeza market share ya PSG ,so team imenufaika na itanufaika sana kwa kumsajili Messi

My prediction Messi atarudi Barcelona 2023 ,kama shujaa kwa free transfer huku tukiwa tumepigika sana na kusaga meno na Laporta ni suala la muda tu ,ile vote ya no confidence atapigiwa yeye
 
Back
Top Bottom