Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Msalimie bulaza.... Mi nimenasa hata dalili ya kuondoka hakuna... naangalia livescores kitu bado bila bila. Hatari sana Bayern Munichen hawa...Nimefika salama shemej namshukuru Mungu,kipindi cha pili ntacheki live.
baca wakishindwa kushinda hapa kwao imekula kwao
Mpira unadunda mkuu.
Dah leo bayern wanabebwa na Golikipa wamshukuru sana
kumbuka haya siyo makundi ni nusu fainali.