FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nimefika salama shemej namshukuru Mungu,kipindi cha pili ntacheki live.
Msalimie bulaza.... Mi nimenasa hata dalili ya kuondoka hakuna... naangalia livescores kitu bado bila bila. Hatari sana Bayern Munichen hawa...
 
Naona 'utatu' wa Barca utaweza kupenyeza ngome ya Boateng & Neuer?
 
Back
Top Bottom