FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Yani washabiki wa Barcelona wanavyolalamika utadhani hawajui asili yao ya kuwa Mediocre.
Yani ule upepo was miaka 8 uliowapitia kuanzia 2006 mpaka na 2014 ndiyo wanajiona Timu kuuubwaaaa.

Niwakumbushe tu kuwa hakuna kilichoharibika hapo wala hakuna cha ajabu just mumerudi tu kwenye default yenu ya kabla 2006.
 
Huu muandiko huu wa #king gwaba kabisa.
 
Haters mmetoka wapi,tulivokua kwenye winning streak mlikua kimya ila tumepigwa game moja mnakuja kwa fujo anyways ngoja tuwafundishe adabu Cadiz leo[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…