FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Xavi alivyoifunga Madrid alijifanya kuchonga sana kuwa anacheza vizuri ndio maana anashinda 😂😂😂game 2 mfululizo home anapigwa Realmadrid anahitaji droo nxt game achukue Laliga
 
Kosa la Xavi anafundisha sana pressing bila ya kuwa na namna ya kufunga kama timu inalinda Kwa staili yake Laliga itakuwa ndoto kutwaa😂😂😂
 
Back
Top Bottom