Nina pata mashaka juu ya wachezaji anaowataka
Kosa la Xavi anafundisha sana pressing bila ya kuwa na namna ya kufunga kama timu inalinda Kwa staili yake Laliga itakuwa ndoto kutwaa[emoji23][emoji23][emoji23]