Isayalussy11
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 695
- 1,058
Ww timu gani kwanza?Pension FC kusajili wazee tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww timu gani kwanza?Pension FC kusajili wazee tu
FrankfurtWw timu gani kwanza?
I think we have to strengthen backline,Centre back ataeweza ku pair na Araujo( i prefer koulibaly au kounde) na full back ya kushoto & probably kulia kwa sababu Dest anaweza uzwa.In Frontline Just killer striker pale mbele , Probably lewandowski japo dili linasuasua na winger ataeweza ku create chances na kufunga, kwa sababu dembele anaeza ondoka ila hata ikibaki fine!Kwema humu ndani?
Transition yetu inaenda vizuri, nina matumaini next season tutaimarika zaidi. Just a few transfers, and we're there!
Wapi mwekundu?
Kounde hapana, anakuaga na hasira za kipuuzi ambazo strikers wenye akili wanatumia kumvuruga. Dogo anakula red cards every now and then. Koulibaly is the right man for the job, akisimama na Araujo itakua combo ya hatari sana.I think we have to strengthen backline,Centre back ataeweza ku pair na Araujo( i prefer koulibaly au kounde) na full back ya kushoto & probably kulia kwa sababu Dest anaweza uzwa.In Frontline Just killer striker pale mbele , Probably lewandowski japo dili linasuasua na winger ataeweza ku create chances na kufunga, kwa sababu dembele anaeza ondoka ila hata ikibaki fine!
Mkuu nakubaliana na wewe! Mm kwa barca sina shida na midfields miaka yote,kwa backline kama ulivyo sema tukimpata koulibaly ata pair vizuri sana na Araujo ,uzuri ni beki kiongozi hata kule Napoli!.Shida iliopo wings zetu zina mapungufu sana(hawana ukatili golini)Kounde hapana, anakuaga na hasira za kipuuzi ambazo strikers wenye akili wanatumia kumvuruga. Dogo anakula red cards every now and then. Koulibaly is the right man for the job, akisimama na Araujo itakua combo ya hatari sana.
Kuhusu winger, naona Raphinha wa Leeds anawindwa kimyakimya, dogo anajua na atatufaa kama tukimpata.
Kuhusu striker, siungi mkono usajili wa Lewandoski. We need to focus on a long run. Aletwe kijana mdogo atakaeweza kuendana na project ya Xavi. Sio mtu wa kucheza misimu miwi. Alafu kumuachia Suarez ukamleta Lewandoski pia sioni kama inakua na mantiki.
Pale anahitajika forward mdogo kama yule mtoto Karim Adeyemi, au wengine wa rika lake. Akisaidiana na Aubameyang, atadevelop taratibu as time goes.
By the way, tukiwa na wings za moto, midfield ikatulia, na most importantly, defense ikawa solid enough kwa kumpata mtu wa kupair na Araujo, basi kule mbele hata tukimuweka Joti bado atatupia mpaka wakome.
Unatumia kiungo gani kufikiri?Klabu ya FC Barcelona imeruhusu harusi kuandaliwa kwenye uwanja wao wa Camp Nou kwa gharama ya kuanzia euro 1, 600 hadi euro 13, 500
Pia Barcelona imeruhusu mashabiki kukodi uwanja huo kucheza kwa dakika 60 kwa kiasi cha euro 300 kwa kila mtu kwa lengo la kujikwamua kiuchumi.
Barcelona ipo kwenye wakati mgumu kiuchumi ambapo hadi sasa wameshindwa kutangaza usajili mpya wa Andreas Christensen kutoka Chelsea na Franck Kessie kutoka AC Milan kwa sababu watavuka kiwango cha kisheria cha Laliga cha mishahara.
Barcelona wamekuja na mpango huo ambao utaanza rasmi Juni 6 hadi Julai mwaka huu kwa mashabiki kucheza ndani ya uwanja wa Camp Nou.
#KitengeSports
Angalien msije shuka hadi SEGUNDA DIVISION umbwa nyie. Ombeni msaada kwa PAPA PEREZ awaokoe
Unachotumia weweUnatumia kiungo gani kufikiri?
Nina wasiwasi, pengine mwenzetu umegundua kiungo kingine!Unachotumia wewe
Umetumis sio?Barcenyeto