FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mimi huu msimu sikua na matarajio ya kushinda kombe lolote, japo EUROPA ilikua imetukalia uchi kabisa. Huu ni msimu wa kuimarisha kikosi, kufanya marekebisho na kujiandaa kwaajili ya msimu ujao.

Tumetoka mbali nyie, ile nafasi ya saba tulikaa mpaka nikawa naitamani hata nafasi ya tano. Lakini tayari Xavi ameipandisha team mpaka nafasi ya pili. Naamini next season tutakua moto wa kuotea mbali.

Kwa sasa, kazi pekee ni kulinda nafasi yetu ya UEFA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…