FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kitu kinachonichekesha zaidi ni kwamba, Gerald Pique na kiburi chake chote anatakiwa atundike daruga huku ana maumivu. Football haina adabu kabisa
 
Form ni Temporary
Class ni Permanent

Hivyo ile form ya ya miaka 11 kianzia 2004 mpaka 2015 imeshafika mwisho.

Sasa mumesharudi kwenye default yenu ya mediocre.

Wenye Class Wacha waendelee na class yao.
 
Form ni Temporary
Class ni Permanent

Hivyo ile form ya ya miaka 11 kianzia 2004 mpaka 2015 imeshafika mwisho.

Sasa mumesharudi kwenye default yenu ya mediocre.

Wenye Class Wacha waendelee na class yao.
Sawa madridista tumekuelewa
 
Namuangalia hapa Mazihno a.k.a Thiago, anasambaza tu mapasi ya upendo kwa wenzie, jamaa anaupiga mkubwa sana.

Mwaka fulani hapo nyuma Bayern walituwekea mdomoni kabisa tumchukue lakini tuka-opt kwenda na Arturo Vidal, tuli fail sana kwa kweli.

Thiago ni mtu na nusu.
 
Breaking News Tupo katika hatua nzuri na Lewadonsky kuja Nou Camp..na tayari alishawaaga Bayern kuwa hawatakuwa nae msimu ujao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…